AINA IPI YA COMPUTER [LAP TOP] NI NZURI?

Kibirizi

JF-Expert Member
Feb 19, 2011
604
146
Mambo!
Aisee ni computer [Laptop} gani ambayo ni nzuri kwa maana ya kudumu na muonekano mzuri, na kwa Dar es Salaam ni sehemu gani ninaweza pata ambazo ni original.
 
Nunua dell mkuu iko njema sana.

Nilikuwa na Toshiba aisee inachemka hatari, mda wote iko kwenye charge ukichomoa tu na yenyewe inazima.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom