Msaada wa kupakuwa Drivers za Samsung 300E4C

Kibirizi

JF-Expert Member
Feb 19, 2011
604
146
Habari,

Msaada wa link ya kudownload drivers za Samsung model 300 E4C ambazo haziuzwi.

Baada ya ku upgrade kutoka Windows 7 kwenda Windows 10 pro 64bits nimepata tatizo za drivers, bluetooth, display etc.
Nimejaribu kusearch nakumbana na za kuuza tu.

Je, wapi nitapata kwa free.
 
1. Display mara nyingi hutoka kwa mtengeneza gpu kama nvidia, Amd ama intel ukishajua tu hardware yako unaenda kudownload.

2. Bluetooth inakuja automatic na win 10


Official website hapa download drivers

Ikiwa ni ya win 7 hakikisha unarun kwenye compability mode.
 
Back
Top Bottom