Nini tofauti kati computer ya 32 bit na 64 bit?

Nini tofauti kati computer ya 32 bit na 64 bit?

Kibirizi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2011
Posts
604
Reaction score
149
Rejea kichwa cha habari, naomba mwenye ufahamu juu ya tofauti kati ya computer ya 32bit na 64bit, ingawa kwa sasa naona computer nyingi zinakuwa 64bit, je unaweza badili kutoka 64 to 32 bit.
 
Rejea kichwa cha habari, naomba mwenye ufahamu juu ya tofauti kati ya computer ya 32bit na 64bit, ingawa kwa sasa naona computer nyingi zinakuwa 64bit, je unaweza badili kutoka 64 to 32 bit.
tuseme kuna foreni sana afu kuna kuna njia 32 na pia kuna njia 64 njia gani magari yatawah kufika?

Pili unaweza kuweka 32bit os kwenye pc iliyo na 64 lakini expect prosessing speed kupungua pua unaweza kuweka 64bit os kwenye computer yenye 32bita os provided computer imemit requirments
 
Rejea kichwa cha habari, naomba mwenye ufahamu juu ya tofauti kati ya computer ya 32bit na 64bit, ingawa kwa sasa naona computer nyingi zinakuwa 64bit, je unaweza badili kutoka 64 to 32 bit.
32-bits ni procesor yenye uwezo wa kuprocess 2[SUP]32[/SUP] bytes of information ambayo ni sawa na space ya 4GB RAM, 64-bit ina uwezo wa kuprocess 2[SUP]64 [/SUP]bytes of information ambayo ni sawa na space ya RAM kuanzia 4GB na kuendelea. Unaon kwamba ukiwa na procesor ya 32-bit hauhitaji RAM ya 8 GB kwasabau comp yako ina uwezo wa kuprocess 4GB of information tu.
 
Back
Top Bottom