nimekuwa nikiuliza kitambo bila kupata majibu, ni nini hasa husababisha maziwa ya akina dada kulala na wakati wengine wenye sifa za pamoja hayalali.
Ni janga la taifaa! !!surgery ni mkomboz wetu lakin pesa tatizo badala wapunguzee beiiii
Hujambo dogo?kama hela haitoshi si unafanya ziwa moja kwanza then ukijipanga unamalizi jingine?

mmh! wewe ulipitia pavillion na ujamaa na kwenye random na more beda au network inanizingua?wewe kubaliana na hali ndo demu wako alivyo hvyo usimkufuru Mwenyezi Mungu.
mmh! wewe ulipitia pavillion na ujamaa na kwenye random na more beda au network inanizingua?
kama umeelewa vizuri nilichokisema hapo na jibu lako likawa hivi sawa, enjoy jfNadhani network inakuzingua