Data usage warning?

Data usage warning?

Kibirizi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2011
Posts
604
Reaction score
149
Nina tecno yangu nikijiunga sana na bundle mwisho wa siku inakuja icon inaandika data usage warning sasa hii sms ina maana gani msaada tafadhari.
 
Hiyo ni notification kwamba kiasi ulichotumia katika internet kimefikia kiwango kilichowekwa kwenye simu yako hivyo kama hutapenda kuna tena hiyo notification unaweza kutoa ukienda kwenye setting
 
Toa Tick kwenye hiyo Set data limit.. hutoiona tena hiyo warning...
 
Attachments

  • 1395562626097.jpg
    1395562626097.jpg
    8.5 KB · Views: 89
Hiyo ni notification kwamba kiasi ulichotumia katika internet kimefikia kiwango kilichowekwa kwenye simu yako hivyo kama hutapenda kuna tena hiyo notification unaweza kutoa ukienda kwenye setting
Asante mkuu
 
Back
Top Bottom