Kibirizi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 604
- 149
Wakuu heshima zenu, nimepatwa na tatizo la kiufundi wakati wa kufanya installation ya Adobe photoshop CS5, kwa ufupi installation imemaliza tatizo ni kuifanya isiwe trial ndio imenishinda, kila nikiapply patch inagoma kwa ufafanuzi nimeattach screenshot. Computer yangu ni 64bit. Ram 4gb, speed ya processor ni above 2ghz, hdd ni 500gb
1.Nachagua program naclick kwenye 64bit

2. Na apply patch

3. Haya ndiyo majibu ninayopata.

4. hii ndio adobe yenyewe.

1.Nachagua program naclick kwenye 64bit

2. Na apply patch

3. Haya ndiyo majibu ninayopata.

4. hii ndio adobe yenyewe.


