Msaada bei ya Tecno P5

Msaada bei ya Tecno P5

Kibirizi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2011
Posts
604
Reaction score
149
Anayefahamu bei ya simu ya Tecno P5 na changamoto zake anijuze
 
Aisee namimi nahitaji huo msaada, ngoja waje manguli
 
Iko vizuri....especially part ya battery life. Mi namiliki P3.
 
Ni nzuri ila weakness yake ipo kwenye RAM ina ram ndogo ya 512 wakati ni dual core processor, hivyo bei yake usinunue zaidi ya 160,000/=
 
Simu gani ya Tecno ni nzuri zaidi ya hiyo yenye sim card 2?
 
Back
Top Bottom