Nani mwanzilishi wa maneno Papuchi/papuche, gegeda na dushelele

Kibirizi

JF-Expert Member
Feb 19, 2011
604
146
Hayo maneno yamekuwa maarufu sana na nani mwanzilishi na ni kiswahili au ligha gani?
 
Mimi hapa mwanzlishi. Vipi unataka nikugegede?

ImageUploadedByJamiiForums1397500988.914717.jpg
 
Papuchi "siijui" maana yake wala sitaki kuijuwa. Lakini lina sound kama lugha ya kitoto.

Kugegeda ni neno la Kiswahili la zamani sana, likimaanisha kukata hovyo hovyo bila mpangilio, kwa kisu kidugi au kwa meno.

Nakumbuka nikiwa mdogo early 60s, marehem mama yake bibia'ngu, tukifanya utundu anatwambia "ntakugegeda masikio yako".

Dushelele, najuwa ni nyimbo ya Ali Kiba kama sikosei.

Sasa JF hapa naona haya maneno yana maana nyingine. Ndiyo lugha inakuwa, lazima iwe na "slang".
 
Back
Top Bottom