Mi ninayo kuanzia 2010 hadi 2014 ndo ninayotumia sasa hivi...lakini hiyo ya 2009 hembu pakua hapa
Mkuu inahusika sana na masuala ya ardhi na uhandisihivi hii software inatumika kufanya nini.maana nakutana nayo mara nyingi sana.ningependa kujua aisee
Sina uhakika ssana kama jina lako/ID linaendana na fani yako...ila ka niko sahihi basi hiyo software haikufai kwa kuchanganya muziki.hivi hii software inatumika kufanya nini.maana nakutana nayo mara nyingi sana.ningependa kujua aisee
Mkuu heshima mbele, ngoja nidowload nitarejesha maendeleo baadaye otherwise nashukuru. Pia kama naweza pata hiyo link ya hizo nyingine siyo mbaya.
sina uhakika ssana kama jina lako/id linaendana na fani yako...ila ka niko sahihi basi hiyo software haikufai kwa kuchanganya muziki.
hahahahahha...haya bhana....ila kuna mdau kanijibu tayari hapo juu
0687869618hata hiyo itanifaa nitaipataje?
Asante sana, nimefanikiwa kiongozi.
Asante sana, nimefanikiwa kiongozi.