Search results

  1. Mkereketwa_Huyu

    TBC FM - Cavacha Time!

    Jamani, kwa yeyote anayejuwa kipindi chetu tajwa hapo juu kimekwenda wapi atueleze. Ni miezi kadhaa sasa siwapati kina Papa Tshim na Hassan Mbazigwa hewani, kunani?
  2. Mkereketwa_Huyu

    Ghafla, Mademu Wamekuwa Wapole Mno!

    Kuelekea siku kuu ya wapendanao wiki hii, mademu wengi sasa wamekuwa wanyonge. Yaani wengi wao wamekuwa wapole haswa wale wasio na boyfriends, walio wengi kwa sasa wanaokotwa tu kama kuku walio na mdondo. Unatongoza asubuhi mchana unachapa kiulaini tena haulipi, imekuwa kama zamani. Wataalam...
  3. Mkereketwa_Huyu

    Msaada, Airtel!

    Jamani kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosema. Nimefika hapa Marekani toka jana ila nashindwa kupiga simu Tanzania kwa mke wangu kupitia Airtel. Simu yangu (Airtel) ina bando na pia ina hela zaidi ya laki 5, nimenunua kifurushi cha kimataifa (cha kupiga Marekani na Canada) lakini wapi...
  4. Mkereketwa_Huyu

    Kipi Kikuchukizacho?

    Binafsi nachukizwa na tabia za washikaji wakitoka kujisaidia uchochoroni ama baa, mtu hajanawa na kuna probability kubwa pumbu zake si safi au kama kanya hajajichamba vizuri. Atarudi kukaa na akiona mshikaji anakuja kukupa mkono huku akikuachia bacteria zake. Huu ujinga jamani tuuache, lazima...
  5. Mkereketwa_Huyu

    Tujitafakari!

    Nasema tujitafakari kwa sababu najiuliza: Hivi ni kweli kuwa idadi kubwa ya watanzania ni wapuuzi? Tujiulize, CCM imefanya nini cha maana katika nchi hii toka tumepata uhuru mpaka hapa tulikofikia? Umeme mpaka sasa ni kitendawili. Maji ndiyo kabisaaaaa. Mtu akiumwa kwenda hospitali dawa hakuna...
  6. Mkereketwa_Huyu

    Hii Nayo Vipi?

    Hii nimetumiwa na ndugu yangu aishie jimbo la Texas huko Marekani. Wadau, kwanini waislam wanaandamwa kihivi? Japo mimi ni mkristo lakini vitu vingine dhidi ya waislam kwa kweli vimekuwa too much, yaani mpaka Parking wanakatazwa?
  7. Mkereketwa_Huyu

    Msaada!

    Kwenu wana JF pamoja nawe Mh. waziri wa afya mtarajiwa MziziMkavu, kuna mdada hapa JF anaitwa P....., ananisumbua sana na mapigo ya moyo kila nikimuwaza na niko mbali na yeye. Kwa kweli sina nia mbaya naye japo nina mtu wangu, nifanyeje ili anielewe nia yangu kwake? Kila nikimdokezea kuvuna...
  8. Mkereketwa_Huyu

    Je, Huu Ni Uungwana?

    Marahaba kwa wale walio wadogo kwangu na shikamoni wakubwa wangu wana JF members. Jamani kuna kitu kina nitatiza kidogo katika suala la heshima, uungwana, na privacy hapa Tanzania. Nauliza hivi kwa sababu simple common sense inaniambia kuwa nyumba ya kulala wageni pale unapochukua chumba, you...
  9. Mkereketwa_Huyu

    Madeni ya Serikali yaiweka PSPF njia panda

    Wana JF wenzangu, ebu angalieni mauza uza haya ya nchi yetu. Hivi kweli tuna utawala mathubuti hapa nchini? Yaani nchi inaibiwa kweupee na wajanja, kiongozi yuko bize na misafara isiyo na faida. Hapa habari imetolewa na CAG juu ya ufilisi wa hii nchi, sote tunajuwa hakutachukuliwa hatua yeyote...
  10. Mkereketwa_Huyu

    Is tz becoming a mafia state?

    Nimesoma hii habari leo hii na kukubaliana na mwandishi moja kwa moja. Naomba tuijadili hii habari jamani pengine kwa kufanya hivyo hawa wahusika watajirekebisha. Is Tanzania becoming a Mafia state? By Editor 24th March 2013 Editorial Cartoon...
  11. Mkereketwa_Huyu

    Kumbe Haya Ya Diamond Platinumz Ni Ya Kweli!

    Ni muda mrefu nilikuwa nasikia jamaa kwenye viglossary wakilalama juu ya nyota ya Diamond kuwa ni ngekewa. Wengine walithubutu kusema kuwa waha (wakazi na kabila la watu wa Kigoma) ndivyo walivyo, hawawezi kufanya kitu bila kuroga. Haya yote yalisemwa baada ya mwanamuziki fulani kulalamika kuwa...
  12. Mkereketwa_Huyu

    Majina Ya Wenzetu

    Hii ni super market huko Libreville (Gabon). Leteni zingine!
  13. Mkereketwa_Huyu

    Zanzibar: Kuna Matatizo!

    Jamani, kumbe Zanzibar kuna matatizo zaidi ya muungano? IPP MEDIA - 12/30/2012 For tourists, Zanzibar offers the perfect destination for a blissful getaway, but to prominent leaders like Roman Catholic Bishop for Zanzibar Diocese Dr Augustine Shao, the India ocean archipelago is just a safe...
  14. Mkereketwa_Huyu

    Nini Tatizo?

    Wanajamii wenzangu, hivi mmeshajiuliza kwanini watanzania tulio hapa nyumbani tunapenda sana kuongea kiingereza hata kama wengine hawajuwi hiyo lugha kisawasawa watajitahidi kuongea tu. Cha kushangaza watanzania wengi waishio nje ya nchi wakija hapa, wao ni Kiswahili tu tena hata hawatii neno la...
  15. Mkereketwa_Huyu

    Only in Tanzania

    Nimesoma gazeti la Habari Leo na kukuta habari ya wanafunzi 44 waliofeli la 7 wako sekondari huko Mkoani Katavi. Hawa wanafunzi walifeli la 7 kwa sababu hawana akili za darasani, leo hii waje kwenda sekondari na chuo kikuu si tutapata viongozi dizaini ya waziri Muhongo hapa? Jamani kwa nini hivi...
  16. Mkereketwa_Huyu

    Aunt Ezekiel, kunani?

    Jamani kuna fununu zimetoka hivi punde juu ya Mbilikimo Aunt Ezekiel kufumaniwa hapo majuzi. Najuwa kwa sasa hapa Bongo limekuwa ni jambo la kawaida kwa walio wengi kutoka nje ya ndoa kwani imekuwa ni fashion. Kinachonishangaza ni kwamba ni majuzi tu hapa huyu mbilikimo kaolewa (milioni 80+) na...
  17. Mkereketwa_Huyu

    Wasanii wa Fleva ni Wanamuziki Kweli?

    Naomba kuuliza, hivi ni kwa nini ma dj wetu wanapenda kupromote vitu vya kijinga kama bongo fleva na kuubatiza kuwa muziki wetu? Kwa sasa karibia kila mmoja hapa Tanzania anajuwa kuwa huu muziki uko sampled (copied) from other artists, kinachofanywa tu ni kutia sauti na kutoa redioni. Kwa...
  18. Mkereketwa_Huyu

    Pendekezo La Katiba

    Kwa katiba yetu hiii mpya, ningependekeza kuwa na kipengele cha kunyongwa marais, mawaziri, makatibu wakuu, mameneja kwenye taasisi za serikali, na wabunge mara wakibainika na wizi madarakani ama kula rushwa. Kuwe na kipengele cha rais kushitakiwa na kufukuzwa kazi kwa manufaa ya umma pindi...
  19. Mkereketwa_Huyu

    Serengeti vs Maasai Mara

    Baada ya kuangalia "The Great Migation" ya wanyama wanaotoka Serengeti kwenda Maasai Mara Kenya kukimbia ukame Tanzania, kwa kweli nimeshikwa na hasira. Kwa nini? Maasai Mara ni sehemu ndogo sana tena sana kulinganisha na Serengeti, ila TV za dunia zimehamia huko na kuitangaza Kenya as if...
  20. Mkereketwa_Huyu

    Hii Imekaaje?

    Jamani wana JF, hii imekaaje kuhusu wana siasa?
Back
Top Bottom