Je, Huu Ni Uungwana?

Je, Huu Ni Uungwana?

Mkereketwa_Huyu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2011
Posts
10,588
Reaction score
7,956
Marahaba kwa wale walio wadogo kwangu na shikamoni wakubwa wangu wana JF members. Jamani kuna kitu kina nitatiza kidogo katika suala la heshima, uungwana, na privacy hapa Tanzania. Nauliza hivi kwa sababu simple common sense inaniambia kuwa nyumba ya kulala wageni pale unapochukua chumba, you are given all the respect as mpangaji and that you are protected by law na wenye hiyo nyumba. Sasa najiuliza, hii kasi ya kukamata watu bila ridhaa yao wanapokuwa wanajifariji kwenye ma guest nani ameidhinisha? Kama ni serikali, sasa kwanini wabunge hawakamatwi kule Dodoma na hapa mjini? Hivi ni uungwana kweli kwenda kuvunja guest na kumkamata mtu anakula raha kwa pesa zake yeye mwenyewe? Kugegedana ni kitu cha kawaida, hakuna mtu anayekubali kwenda guest bila kuwa na mapungufu nyumbani kwake. Yes, kuna wanaokwenda guest kujiuza lakini pia ni shida yao si ya umma, na pia kuna wale wanaokwenda kwa ajili ya kukidhi mahitaji yao. Sasa kwa nini waingiliwe na kudhalilishwa wakati wanakula raha zao? Jamani, tujirekebishe kwani tunaonekana wapumbavu kwa wageni waliopo hapa nchini.
 
Attachments

  • KIOJA.jpg
    KIOJA.jpg
    85.6 KB · Views: 146
Uelewa mdogo wa wamiliki wa hizi sehemu za wageni, wangethamini neno 'siri' wasingeruhusu watu kuvuruga starehe za watu. Kingine wahudumu njaa, hela kidogo ameshafichua siri zote za wageni. La mwisho magazeti ya udaku, hayajengi jamii bali yanazidi kubomoa.
 
Marahaba kwa wale walio wadogo kwangu na shikamoni wakubwa wangu wana JF members. Jamani kuna kitu kina nitatiza kidogo katika suala la heshima, uungwana, na privacy hapa Tanzania. Nauliza hivi kwa sababu simple common sense inaniambia kuwa nyumba ya kulala wageni pale unapochukua chumba, you are given all the respect as mpangaji and that you are protected by law na wenye hiyo nyumba. Sasa najiuliza, hii kasi ya kukamata watu bila ridhaa yao wanapokuwa wanajifariji kwenye ma guest nani ameidhinisha? Kama ni serikali, sasa kwanini wabunge hawakamatwi kule Dodoma na hapa mjini? Hivi ni uungwana kweli kwenda kuvunja guest na kumkamata mtu anakula raha kwa pesa zake yeye mwenyewe? Kugegedana ni kitu cha kawaida, hakuna mtu anayekubali kwenda guest bila kuwa na mapungufu nyumbani kwake. Yes, kuna wanaokwenda guest kujiuza lakini pia ni shida yao si ya umma, na pia kuna wale wanaokwenda kwa ajili ya kukidhi mahitaji yao. Sasa kwa nini waingiliwe na kudhalilishwa wakati wanakula raha zao? Jamani, tujirekebishe kwani tunaonekana wapumbavu kwa wageni waliopo hapa nchini.

Inategemea na aina ya Guest House mkuu!
Btw, mkeo akigundua we unamsaliti nauko Guest fulani ana uwezo wa kwenda kuripoti polisi, na kwa amri ya polisi na askari wakafika na kukuamuru kufungua mlango kwa ajili ya ukaguzi, kukataa kwako kufungua mlango ndiyo kitachowafanya askari wauvunje huo mlango, na kama haujaowa, na uliyenaye ndani hajaolewa na ni mtu mzima ameamua kukupa kwa ridhaa yake kwa nini usifungue mlango uwaskilize hao askari wanasemaje? Fumanizi ni fumanizi tu, haijalishi uko na mwanamke au na shoga; kwanza kuwa na shoga unamdhalilisha sana mkeo, hata kama alikuwa wa kukusamehe sijui kama anaweza kusamehe kwa hilo. Kama uko we na dem wako wote hamna ndoa sidhani kama kuna mtu atakuja akusumbue chumbani, ukiwa mume/mke wa mtu acha kabisa uzinzi, kama wewe ni mzinzi kupindukia na ushazowea kumsaliti mwenzio basi ni heri usiende Guest, nenda Hotel ambayo unaamini kabisa si rahisi mtu kuingia, au nenda mji mwingine kabisa, hiyo yote ni katika kulinda HESHIMA kwa mwenzio, hakikisha HAJUI wala HAONI DALILI za wewe kumsaliti.
Usitetee uzinzi mkuu.
 
Wacha kutetea uzinzi wewe , tena unatetea na ushoga kabisaaaa? Eeh mungu tuepushie balaa hili waja wago na utusamehe kwa kua hatujui tulitendalo
 
labda tuseme kulala guest house uingie mwenyewe au uwe na mwenza na kuwe na uthibitisho wa cheti cha ndoa
kama uko na hawara risky ya kufumaniwa iwe juu yenu na sio mhudumu wa guest au hotel husika.
la sivo hapa tunatetea maovu,
hakuna privacy kwenye uzinzi ndugu
unafanya dhambi na mke wa mtu ukitegemea kulindwa na privacy rules?
kwanza Tanzania haina specific privacy law.
 
Wacha kutetea uzinzi wewe , tena unatetea na ushoga kabisaaaa? Eeh mungu tuepushie balaa hili waja wago na utusamehe kwa kua hatujui tulitendalo

Ndugu yangu usikurupuke tu kujibu. Katika suala la privacy hata mwizi ana ruhusa ya kuingia guest na yeyote yule. Siyo kama natetea ushoga ila nashangazwa na huu ujinga wa watu kuchukua polisi kwenda kukamata mtu guest na kumpitisha mitaani uku wakimpigia mdundiko. Kila raia ana starehe zake na raha zake mwenyewe. Kama mtu ana tabia ya kugegeda wa.se.nge nani ana haki ya kwenda kumkamata huyo mtu guest? Hajabaka na mse.nge amekubali kugegedwa, sasa wananchi wanaumizwa na nini hapa?
 
Back
Top Bottom