Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 9,580
- 6,884
Binafsi nachukizwa na tabia za washikaji wakitoka kujisaidia uchochoroni ama baa, mtu hajanawa na kuna probability kubwa pumbu zake si safi au kama kanya hajajichamba vizuri. Atarudi kukaa na akiona mshikaji anakuja kukupa mkono huku akikuachia bacteria zake. Huu ujinga jamani tuuache, lazima tuheshimu afya za wenzetu.