Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 10,588
- 7,956
Kwenu wana JF pamoja nawe Mh. waziri wa afya mtarajiwa MziziMkavu, kuna mdada hapa JF anaitwa P....., ananisumbua sana na mapigo ya moyo kila nikimuwaza na niko mbali na yeye. Kwa kweli sina nia mbaya naye japo nina mtu wangu, nifanyeje ili anielewe nia yangu kwake? Kila nikimdokezea kuvuna asali kwake ananipa majibu ambayo hata sijamuuliza. Sili, silali bali namfikiria yeye tu kila kukicha mpaka kushika keyboard naona mizengwe. Jamani niko mbali naye niokoeni na hili jahazi la mapenzi ya ukubwani.
Last edited by a moderator: