Nini Tatizo?

Mkereketwa_Huyu

Mkereketwa_Huyu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2011
Messages
6,645
Points
2,000
Mkereketwa_Huyu

Mkereketwa_Huyu

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2011
6,645 2,000
Wanajamii wenzangu, hivi mmeshajiuliza kwanini watanzania tulio hapa nyumbani tunapenda sana kuongea kiingereza hata kama wengine hawajuwi hiyo lugha kisawasawa watajitahidi kuongea tu. Cha kushangaza watanzania wengi waishio nje ya nchi wakija hapa, wao ni Kiswahili tu tena hata hawatii neno la kiingereza waongeapo. Hivi tatizo ni nini?
 
Futota

Futota

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2010
Messages
524
Points
195
Futota

Futota

JF-Expert Member
Joined Dec 11, 2010
524 195

WaTZ wa hapa nyumbani hatutaki kukipoteza kiingereza chetu, na WaTZ waishio nje wao hawataki kukipoteza kiswahili chao. Hilo ndio tatizo.
Cheers!

Wanajamii wenzangu, hivi mmeshajiuliza kwanini watanzania tulio hapa nyumbani tunapenda sana kuongea kiingereza hata kama wengine hawajuwi hiyo lugha kisawasawa watajitahidi kuongea tu. Cha kushangaza watanzania wengi waishio nje ya nchi wakija hapa, wao ni Kiswahili tu tena hata hawatii neno la kiingereza waongeapo. Hivi tatizo ni nini?
 
tutaweza

tutaweza

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2011
Messages
630
Points
250
tutaweza

tutaweza

JF-Expert Member
Joined Oct 3, 2011
630 250
Unapojizoesha kuongea kiingereza mara kwa mara ndio unazidi kukifahamu. Watanzania wa nyumbani wanataka kukifahamu!
 
MR. ABLE

MR. ABLE

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Messages
1,478
Points
1,195
MR. ABLE

MR. ABLE

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2012
1,478 1,195
Ni ulimbukeni tu hamna chochote, kuna imani iliyojengeka kuwa ukiongea kingereza basi utaonekana msomi mbele ya jamii.
NI KUTAFUTA SIFA ZA KIJINGA.
 
Mkereketwa_Huyu

Mkereketwa_Huyu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2011
Messages
6,645
Points
2,000
Mkereketwa_Huyu

Mkereketwa_Huyu

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2011
6,645 2,000
Ni ulimbukeni tu hamna chochote, kuna imani iliyojengeka kuwa ukiongea kingereza basi utaonekana msomi mbele ya jamii.
NI KUTAFUTA SIFA ZA KIJINGA.

Inawezekana kwani hata msomi mmoja aliniambiaga hivi.
 
Forum statistics

Threads 1,285,942
Members 494,834
Posts 30,879,987
Top