Search results

  1. Rais2020

    Shocking Face of a newborn baby who look 80 years Old

    A baby boy who looks like an 80-year-old man actually has a rare condition known as progeria,which causes him to age quickly and affects just one in four million people. This baby Born in District Magura, Bangladesh, he has hollow eyes,a shrunken body, wrinkles and a thick layer of hair on his...
  2. Rais2020

    Msanii wa Tanzania Ali Kiba kuwania tuzo za AFRIMA

    Wanamuziki wa Tanzania, Uganda na Kenya akiwemo Ali Kiba, Nandy, Bebe Cool na Nyanshiski ni miongoni mwa nyota 18 wa muziki walioteuliwa kuwania tuzo za All Africa Music Awards {AFRIMA} zinazotarajiwa kuandaliwa mnamo mwezi Novemba. Wengine walioteuliwa ni pamoja Bebe Cool wa Uganda , Yemi...
  3. Rais2020

    Aibu: Ofisi za Halimashauri ya mji wa Muheza hazina umeme Usiku na mchana

    Ukistaajabu ya Musa utayaona ya filauni. Ni katika ofisi za Halimashauri ya mji wa Muheza ambapo ofisi zake ni Giza totoro nyakati za Usiku huku makazi ya watu binafsi yakiwa na umeme. Umeme ni kama means ya security nyakati za Usiku lakini hali ni tofauti katika hizi ofisi maana maafisa wa...
  4. Rais2020

    Utawala wa sheria Tanzania: Ni Rais yupi alitimiza?

    Mpaka kufikia Leo,Tanzania tuna awamu Tano za Marais wa Tanzania. 1. Awamu ya kwanza JULIUS KAMBARAGE NYERERE (JKN) 2. Awamu ya pili Ally Hassan Mwinyi 3. Awamu ya Tatu Benjamin Wiliam Mkapa 4. Awamu ya nne Jakaya mrisho Kikwete 5.Awamu ya Tano JOHN Pombe Magufuli. Katika awamu hizi tano...
  5. Rais2020

    Ndege mpya ya Askofu Gwajima aina ya Gulfstream N60983 (Business jet)

    . Ndege mpya ya Askofu Gwajima aina ya Gulfstream N60983 (Business jet). Ni ndege ya kisasa na ya kifahari iliyobuniwa nchini Marekani yenye uwezo wa kubeba abiria 8 hadi 10. Ina speed hadi kilomita 900 kwa saa (mara mbili ya Bombadier zetu). Ina uwezo wa kwenda hadi umbali wa kilomita 8,000...
  6. Rais2020

    Siri: Waganga wa kienyeji hutapeli hivi. Lumani itawamaliza wana jf wapenda ushirikina

    Habari wanabodi. Nimeona threads ambazo zinazungumzia jinsi waganga wa kienyeji kutoka if wanavowatapeli members. Natumia dk 5 tu kuwapa siri ya wizi huu. Kumbuka kuna waganga wataalamu kweli kweli na hawa waganga huwezi kuwapata mijini wakiwa wanakula good time. Waganga wa kweli wapo vijijini...
  7. Rais2020

    Mwanamke mmoja India amemuua baba mkwe wake kwa kumminya korodani

    India woman kills father-in-law by 'squeezing his testicles until they burst’s A woman has been accused of killing her father-in-law by squeezing his testicles during a row about a cockfight. Police say victim Gau Kerketta dropped dead on the spot after his son's wife, Anima Kharia, lunged at...
  8. Rais2020

    What is the Capital city of Love

    . Majibu yenu pls.
  9. Rais2020

    Ukimya wa Mawaziri: Wanatetea wananchi au matumbo yao?

    Baraza la mawaziri chini ya uongozi wa Rais wa awamu ya Tano ya mhe. John Pombe Magufuli limekuwa kama imepigwa ganzi. Mawaziri hawasimami wao kama wao katika kusimamia wizara zao. Mawaziri wanatoa "promising statements" kila kukicha ili tu zimfurahishe mhe Rais bila kujali kama...
  10. Rais2020

    Tafakuri: Police wanahusika utekaji na mauji ya RAIA wema?

    "kibaya zaidi nimefikishwa kituoni centro RPC ananiambia una bahati tumekukamata asubuhi watu wanaonalakini ungekamatwa usiku MTU yoyote asione tungekupoteza" Anasimulia:Mdude Nyagari a.k.a. Sumu ya nyigu mnamo 18/4/2017. Massa machache baada ya kesi ya uchochezi iliyokuwa inamkabili kada...
  11. Rais2020

    Walimu mnafaidi sana,Wivu sina ila Roho inauma.

    Japo sijui hawa wanafunzi ni wa shule gani,ila wazuri kweli. Kama wewe ungekuwa mwalimu,hii mizigo ungeiiacha kweli?. Binafsi kila mmoja kwa nafasi tofauti ningeitafuta na kuikuna.
  12. Rais2020

    Six Strangest Medical Conditions

    You All Have Heard Of Crazy Disease Like Ebola,And Swine Flu That Have Been Known To Spread Like Fire.But What About Those Rare ,Extreme And Strangest Medical Conditions.Of Thousands Of Medical Conditions We Picked Top 6 Strangest Medical Conditions . (1)The Bark Skin Disease...
  13. Rais2020

    Wagonjwa wagomea zawadi ya vyakula, wataka dawa

    Katika hali isiyotarajiwa, baadhi ya wagonjwa waliolazwa katika Hospitali ya Wilaya ya Bukombe mkoani Geita juzi walikataa kupokea msaada wa vyakula na sabuni kama zawadi ya sikukuu ya Pasaka, badala yake wakaomba wapelekewe dawa na vifaa tiba. Tukio hilo lililoacha gumzo lilitokea wakati...
  14. Rais2020

    MOSHI: Diwani wa CCM afikishwa mahakamani kwa tuhuma za kughushi vyeti

    Aliyekuwa Diwani wa CCM Manispaa ya Moshi, Gresta Sodoka amefikishwa mahakamani na TAKUKURU kwa tuhuma za kughushi vyeti vya elimu. #Mwananchi. My take: Mkuu wa Mkoa wa Dar anaogopwa kama ukoma. Takukuru siyo kwa MTU yeyote yule Bali wachache.
  15. Rais2020

    Afrika Kusini: Msichana aliyekuwa anaugua ugonjwa wa kuzeeka afariki dunia

    Afrika Kusini inaomboleza kifo cha Ontlametse Phalatse, msichana wa umri wa miaka 18 ambaye alikuwa anaishi na ugojwa unaojulikana kama Progeria, ambayo ni hali ya kimaumbile isiyo ya kawaida ambayo husababisha mtu kuzeeka kwa haraka. Mwezi uliopita Ontlametse alisherehekea siku ya kuzaliwa na...
  16. Rais2020

    Hukumu: Hatima ya Shikuba na wenzake kusafirishwa Marekani juu ya madawa ya kulevya kujulikana leo

    Mahakama ya mkazi Kisutu leo inatarajiwa kutoa uamuzi leo iwapo Watanzania watatu akiwemo Ally Khatibu Haji maarufu kama Shikuba - wanaotuhumiwa kwa kujihusisha na biashara dawa za kulevya watasafirishwa kwenda Marekani kujibu mashtaka yanayowakabili nchini humo au wataendelea kubaki nchini...
  17. Rais2020

    Wabana pua waomba poo kwa Nay wa mitego,Rich Mavoko aanza kulialia

    Wabana pua na vinyimbo vyao vya mapenzi wameshindwa kufurukuta katika kipindi hiki ambacho Mashabiki wako alerted na mambo ya kisiasa yanayoendelea nchini. Hali hii imewafanya washindwe kutoa ngoma zao ili kuepuka kubuma. Richmavoko amekili kuwa hali yao ni mbaya sana kimuziki na amesema haya...
  18. Rais2020

    Jicho la Tatu: Bashite na Diamond rudini studio Upya,Tumewasitukia

    Wimbo ni mistari ya mashairi siyo Melody wala umarufu wa mtu Wimbo huu umekuja ki mkakati umekuja kulifanya jina la MAKONDA lijadiliwe Liimbwe na media zilizomkataa, Dai kajilipua kumsaidia aliyekataliwa asikike Ni akili kubwa imecheza ili tusiye mtaka arejee vinywani mwetu kupitia...
  19. Rais2020

    Kuwa Single ni Ulemavu,WHO yathibitisha

    Taarifa ambazo zimethibitishwa na shirika la afya duniani zinasema kuwa kitendo cha mtu kuishi bila kuwa na mwenzi wake ni ulemavu. Taaria zaidi soma hapa: It’s Official: Being Single Is Now A Disability, WHO Confirmed On October 2016, it was announced by the WHO(World Health Organization )...
Back
Top Bottom