Aibu: Ofisi za Halimashauri ya mji wa Muheza hazina umeme Usiku na mchana

Rais2020

JF-Expert Member
Jul 14, 2016
3,248
5,532
Ukistaajabu ya Musa utayaona ya filauni.

Ni katika ofisi za Halimashauri ya mji wa Muheza ambapo ofisi zake ni Giza totoro nyakati za Usiku huku makazi ya watu binafsi yakiwa na umeme.

Umeme ni kama means ya security nyakati za Usiku lakini hali ni tofauti katika hizi ofisi maana maafisa wa mji kazi yao ni kujilipa posho Bila kazi maalumu waliyofanya.

Wahusika hamulioni au serikali haina pesa za kuweka japo umeme tu?

Hii aibu hakika inatia kinyaa.

Ni aibu kubwa mno kwa nchi yetu. Ni aibu kubwa sana kwa awamu ya Tano.

Kama tunataka serikali wa viwanda wakati hata ule umeme tu wa kutos

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ela Hamna sasa ivii utakuta watu wanaofanya kazi kwenye iyo office hamna computers wala nini na wakitaka Ku charge simu zao mchana
 
Back
Top Bottom