Rais2020
JF-Expert Member
- Jul 14, 2016
- 3,248
- 5,537
Wimbo ni mistari ya mashairi siyo Melody wala umarufu wa mtu
Wimbo huu umekuja ki mkakati umekuja kulifanya jina la MAKONDA lijadiliwe
Liimbwe na media zilizomkataa, Dai kajilipua kumsaidia aliyekataliwa asikike
Ni akili kubwa imecheza ili tusiye mtaka arejee vinywani mwetu kupitia ushawishi wake,wapenzi wake kimuziki
Tunachezeshwa kwa sauti nyororo yenye kujaa huruma huku yeye akiwa anacheza dili ya kumfufua mfu kisiasa na kimadili
Kagusa hata Bunge ili kushawishi pande zote ili lengo lake litimie hiyo ni akili kubwa mno
Walijipanga vizuri sana kama hujifikirishi sana unanasa tu
Mwanzo nilinasa nikachambua shairi nikagundua baada kujiuliza nini Gwajima, Mange kuhusishwa
Nikagundua Askofu Gwajima na Dada Mange ndo wahanga wa wimbo huu wala siyo Roma
Wimbo upo mahususi kimlinda mtu na kushambulia wanaohoji uharali wa vyeti
Hitimisho ni dharau kwetu kuwa tunakaa vijiweni kujadili VYETI VYA BASHITE badala ya KUSAKA SENTI
Diamond hayupo na Roma Mkatoriki yupo kutetea Mjadala wa VYETI
TUSANUKE TUSIINGIZWE CHAKA TUDAI VYETI BASHITE TOA VYETI.
Allan Bhujo FBI