Search results

  1. M

    Nahitaji nyimbo za Saida Karoli albamu ya kwanza ya Marria Salome

    Mwenye Album Hiyo tafadhali naomba unipatie nyimbo za album hiyo Mimi ninazo 1. Maria Saloma 2. Kaisiki 3.Alimwatusile pekee. Naomba mwenyei nyimbo zingine za Abum hii anisaidie.
  2. M

    MWENYE WIMBO wa TWANGA PEPETA- Umbea hauna posho (Pilipili ya Shamba)

    Tafadhali Mwenye wimbo huu Video au Audio naomba Msaada wana Nzengo
  3. M

    MSAADA: JINA LA WIMBO HUU au JINA LA MSANII

    Heshima kwenu. Naomba anayejua jina ala wimbo huu wa zamani au jina la msanii. Natumaini wahenga wenzangu mtanisaidia.
  4. M

    Msiba Wa Ruge Vs Kanumba

    Sote tumeshuhudia namna msiba wa Ruge na sarakasi zake unavyo endelea. Binafsi naiona nguvu ya Media katika shughuli za msiba huu. Kumekuwa na hamasa kubwa ya watu juu ya msiba huu, hii naamini ni kutkana na msiba huu kufanya habari ya taifa kwa takriban wiki moja mpaka sasa. Kila kukicha...
  5. M

    Yanga kuporomoka na kufa baada ya miaka 10

    Poleni sana Yanga na Hongereni sana Mnyama Simba. Naomba nitoe maoni yangu kama mtanzania huru na ingawa ninayo timu yangu baina ya Simba au Yanga . Hasa napenda kueleza juu ya mustakabali wa Yanga miaka kumi ijayo katika ulimwengu huu wa maendeleo ya teknolojia ya habari na mawasiliano kuna...
  6. M

    Mjue Josiane, Miss Rwanda anayetikisa nchi

    Huyu ni mshiriki wa ushindani la miss Rwanda 2019. Alianza kutikisa vichwa vya habari baada ya kuripotiwa kuwa binti pekee aliyejitokeza katika shindano hilo akiwa a imetokea kijijini na kutembelea kwa miguu imebaki wa kilomita kumi. Akiwa njiani kuja katika usaili alipata ajali ya kujikwaa...
  7. M

    ALIKIBA-KADOGO, Uchambuzi Binafsi.

    Bila kupoteza Muda nitaeleza mapungufu na maboresho katika wimbo huu. 1.Wimbo huu umetumika kama tangazo pia la kinywaji cha Mofaya ambapo mwanzo alikiba anawasiliana na mpezi wake kumpa miadi ya kutoka. Hapo mwanzo katika mawasiliano hayo alikiba hayuko imahaba yaani sio romantic, anaongea kwa...
  8. M

    Sababu za Fiesta kufa na yaliyojiri Mtwara na Kahama

    Hii ni tathmini Binafsi. Tukianzia tangu sakata la ushoga lilipo anza kisha kukolezwa na kuibuka kwa Dudu baya na KONKI yake.Hisia nyepesi ilikua ni muendelezo wa vita Kati ya Makonda na Clouds, hili lilimfanya Mange ambaye mara zote anaitetea Clouds kuingia mstari wa mbele kwanza kwa kumbomoa...
  9. M

    Watu 10,300 Wanaangalia Wasafi Festival kupitia Simu kwa wakati mmoja

    Tamasha la Wasafi Festival linaangaliwa na watu zaidi ya elfu kumi kwa wakati mmoja mpaka sasa saa nane usiku. Hii ni idadi ya wanao angalia kwa simu achilia mbali wanao sikiliza radio na kuangalia kupitia runinga. Wataalamu wa takwimu mtupe Makadilio ya idadi ya watu wanao ifuatilia Wasafi...
  10. M

    Msaada: Jinsi ya kuagiza gari la mizigo kutoka UK

    Natoa salamu za heshima kwenu nyote wadau wa jukwaa hili pendwa. Mwaka 2016 niliomba ushauri humu na kusadiwa kuhusu kuagiza gari toka Japan na kufanikiwa kwa asilimia mia, nasema asanteni sana kwa mara nyingine. Sasa nimerudi kwenu kuomba tena msaada wa ushauri wenu kuhusu namna ya kuagiza...
  11. M

    Fiesta kama inapotea vile...

    Jamani mimi ninanvyo ona ni kama ile amshaamsha ya Tamasha la fiesta inazidi kupoa kila mwaka. Nimejaribu kuangalia katika mitandao ili nisome comment za mashabiki, lakini naona hata wanaotoa comment wanazidi kupungua, Ni kama watu wanaona ni tamasha la kawaida au wamelizowea au sijui nini...
  12. M

    Wanunuzi wa Almasi na Dhahabu, Tanzania

    Habari wanajukwaa. Katika pitapita zangu za mihangaiko nimekuwa nikifuatilia namna ya kupata Madini tajwa hapo juu. lengo langu ni kununua toka nje ya nchi kwa wachibaji wadogo kisha kuja kuuza hapa Tanzania au sehemu yoyote penye soko la uhakika na salama. Niliwahi kuwa nauza dhahabu kwa mfumo...
  13. M

    RERRE GOLA NI ZAIDI YA FALLY IPUPA.

    Baada ya kutulia na kusikiliza nyimbo za miamba hawa wawili toka pale Jiji la Kinshasa huko Jamuhuri ya Congo DR. Sasa ni rasmi huyu Mwamba Ferre anaMuziki wa kulevya sana. Pia nyimbo zake nyingi zina mafundisho sana hata kama anaimba mapenzi lakini inakua kwa namna ya mafunzo, Kwa upande wa...
  14. M

    Mbinu za kuona fursa na kuifanya biashara afrika

    Habari wana bodi. Leo naanza mfululizo wa Masomo ambayo napenda tujadiliane pamoja. Kabla ya kwenda mbali napenda niwaeleze kuwa ninayo yaandika hapa ni mawazo yangu kutokana na uzowefu wangu. Kama kuna nadhalia zozote za kiuchumi na mengineyo ya darasani basi endelea nayo mimi sipo kupinga hayo...
  15. M

    Usiingie kwenye biashara kwa mihemuko ya semina na mifano ya akina Jack Ma, Bii Gate na Jeff Bros

    Habari za wapambanaji wenzangu katika jukwaa hili. Leo napenda tujadili kidogo juu ya hawa watu wanao jiita wahamasishaji wa biashara na ujasiriamali au kujiajiri. Binafsi nimekuwa nawafuatilia sana kuona kama naweza kupata chochote chenye kuweza inisaidia katika ujasiriamali au biashara lakini...
  16. M

    USA vs CHINA: DUNIANI KUMEKUCHA.

    Huu ni mpambano wa teknolojia ya uchukuzi. Huku USA wakijivunia uvumbuzi/ubunifu wa bwana Elon Musk ambaye anakubalika sana kwa sasa duniani, Mtu huyu anafanya uvumbuzi mwingi wa kisayansi kama vile magari ya umeme, kusafirisha watu kwenda sayari ya mars kwa mfupi na linalo vitia zaidi ni...
  17. M

    Niki wa Pili kuwa rais itaendelea kuwa ndoto

    Habari za leo wakuu. Katika pitapita mitandaoni nimekupa na suala la kimoja huyu mwanamziki wa kind la website NIKI WAPILI kuwa na ndogo za kuwa Rais. Jambo hili limezua mjadala kwa wachangiaji ambapo wengi wao wamekejeli na kumbe za Sana. Binafsi sipendi kumbeza mtu mwenye kutamani kuwa katika...
  18. M

    Waziri wa michezo tunataka kuona hatima ya Serengeti Boys

    Sote Watanzania tunashuhudia kiwango vya vijana wa timu ya mpira kwa vijana wa until wa miaka 17 au Serengeti Boys. Katika uchungu wangu kikosi cha sasa ni bora na kimesheheni vipaji pengine kuliko vikosi vya awali. Jambo la kusikitisha ni kwamba vipaji hivi vitakwenda kupote kama ambavyo...
  19. M

    UKOMO WA URAIS UONDOLEWE TUJIFUNZE KWA KATIBA YA CHADEMA.

    Chama cha upinzani hutarajiwa kuwa na katiba, dira na sera zilizo kamilifu sana kuliko chama tawala. Hii ni kwakuwa upinzani kujijenga katika msingi wa kuboresha yaliyo mapungufu ya chama tawala na serikali. Katika suala la ukomo wa uongozi tunapaswa kujiuliza kwa Chama kikuu cha upinzani. Ni...
  20. M

    Ukomo wa urais uondolewe tujifunze kwa katiba ya CHADEMA

    Chama cha upinzani hutarajiwa kuwa na katiba, dira na sera zilizo kamilifu sana kuliko chama tawala. Hii ni kwakuwa upinzani kujijenga katika msingi wa kuboresha yaliyo mapungufu ya chama tawala na serikali. Katika suala la ukomo wa uongozi tunapaswa kujiuliza kwa Chama kikuu cha upinzani. Ni...
Back
Top Bottom