Mzalendowadamu
JF-Expert Member
- Jul 10, 2016
- 218
- 318
Habari za leo wakuu.
Katika pitapita mitandaoni nimekupa na suala la kimoja huyu mwanamziki wa kind la website NIKI WAPILI kuwa na ndogo za kuwa Rais. Jambo hili limezua mjadala kwa wachangiaji ambapo wengi wao wamekejeli na kumbe za Sana. Binafsi sipendi kumbeza mtu mwenye kutamani kuwa katika hatua flani kwani kila mtu anatani kupiga hatua. HOJA yangu ni kwamba hili Suala limekuja ikiwa ni sikua chache tu nilikua namtafakari kijana huyu nankujiuliza maswali mengi. Kilicho nifanya namtafakari ni kutoka na namna amekua akipata nafasi katika majukwaa adimu Sana na amekua akiongea kama muhamasishaji tena kwa kujaribu kutoka falsafa zake katika mambo mbali mbali hasa mafanikio. Kwa namna amekua anapewa nafasi hizi imjenga taswira ya yeye kuonekana kama KIJANA WA TAIFA au KAKA WA TAIFA. Tafakari yangu ilienda mbali kidogo ili nisije nikawa katika kundi la wenye husuda. Nikajiuliza huyu ni nani? amefanya nini? Na kwanini ninamfahu? na maswali mengi mengi lakini nikawa napata majibu pia
1.Namjua kupitia kundi la Weusi lakini zaidi kama Ndogo wake na Msanii Niongee Joh Makini. Hapa nikagundua kuwa jina la kaka yake limemfanya kujulokana haraka maana sikumbuki msikitini wake akiwa pekeyake na kumtambulisha, au Mimi sio mfuatiliaji mzuri.
2.Pia nikakumbuka kuwa wanasema ndiye Msanii msomi zaidi ila pia sijaona akiitwa NIKI PhD, nikajua labda degree kazaa kazaa. Hili nalo likafanya namtafakari kama Msanii anaye aminika kuwa na akili maana ni kawaida kuonekana msomi ndiye mwenye akili. Pia ameonekana kuwa na hoja zinazo kubalika miongoni mwa wasanii wenzake na hili ni jambo jema tu kuwa na msaada kwa wengine.
3. Je, analipi la kuigwa na jamii yake, Kiukweli katika engo hii ni wazi kwamba pamoja na umaaeufu wake bado amekua wa tofauti kwa kuepuka kashfa za kijinga kama wenzake wengi.
4.Mafanikio ya kuigwa!? Hapa nikiri kwamba sijui mafanikio aliyo nayo nje ya mziki. Kimuziki nalo bado siioni kama amepiga hatua au kusaidia kundi lake kufika mbali kama ambavyo anajaribu kuivaa haiba ya mafanikio.
Pia nikajiuliza, hivi Tanzania hakuna vijana walio fanya Mambo Makubwa ya kuigwa na yanayo onekana ili wapewe fursa za kuwa Taswira ya vijana wa Taifa hili, ili pamoja na NIKI watoe hamasa kwa vijana. Nikazidi Suzana zaidi na kujiuliza kama kuwa maarufu ni kigezo cha kuwa msemaji tena kwa falsafa?
Leo Baada ya Kuona kuwa anandoto za kuwa Rais niliwaza kwa Maendeleo uleule kuwa Labda mialiko ya kuzungumza katika mihadhara mbali mbali ndio chanzo cha kujiona kwa Taswira hiyo?
Neno langu kwake ni kwamba kama anafikiri Urais utakuja kwa njia hizo, itaendelea kuwa ndoto na kama anahitaji iwe kweli basi atambue bado anamengi ya kufanya mbele yake.