RERRE GOLA NI ZAIDI YA FALLY IPUPA.

Mzalendowadamu

JF-Expert Member
Jul 10, 2016
218
318
Baada ya kutulia na kusikiliza nyimbo za miamba hawa wawili toka pale Jiji la Kinshasa huko Jamuhuri ya Congo DR. Sasa ni rasmi huyu Mwamba Ferre anaMuziki wa kulevya sana. Pia nyimbo zake nyingi zina mafundisho sana hata kama anaimba mapenzi lakini inakua kwa namna ya mafunzo,
Kwa upande wa pili Fally anazo nyimbo nzuri ila sio nyingi kama kama Ferre. Kila wimbo wa Ferre ninao gusa natamani usiishe wakati kwa Fally nakwama kwa Nyokalese, Tsho,Beuce,ndoki ,Kidiamfuka na Pharmacie bila kusahau Asocie. na zingine chache huku kwa mZee Ferre nakwama kila kona .
Mlio tangulia kumjua huyu jamaa hongereni sana.
Hapa nasikiliza Maboko Pamba, kinshasa makambo na jugement na nyingine kibao
Wikiendi njema. Poleni kwa Mv. nyerere
 
Back
Top Bottom