Mzalendowadamu
JF-Expert Member
- Jul 10, 2016
- 218
- 319
Jamani mimi ninanvyo ona ni kama ile amshaamsha ya Tamasha la fiesta inazidi kupoa kila mwaka. Nimejaribu kuangalia katika mitandao ili nisome comment za mashabiki, lakini naona hata wanaotoa comment wanazidi kupungua, Ni kama watu wanaona ni tamasha la kawaida au wamelizowea au sijui nini sababu.
Hebu toa maoni yako wewe unaonaje,
Hebu toa maoni yako wewe unaonaje,