Search results

  1. Amoxlin

    Nasherehekea kuachwa na mchumba niliyemzalisha

    Habari wapendwa wote. Leo nimependelea kuwashirikisha furaha kuu ninayoishi nayo mwaka wa pili sasa. Ilikuwa hivi, Mwaka 2011 Nov nilianza mahusiano na bint mmoja wa Kikaguru akiwa kidato cha 3 kwenda cha nne 2012. Alimaliza kidato cha nne na kujiunga na mafunzo ya katika ngazi ya cheti. Mwaka...
  2. Amoxlin

    Ahsante Halotel kurejesha mabaki ya dk, internet na sms

    Amani kwetu wana Jf. Leo natumia nafasi hii kuupongeza uongozi mzima wa kampuni ya mawasiliano ya halotel kwa ubunifu wao mkubwa. Kwa sasa kila unapojiunga na kifurushi chochote cha halotel na muda ukaisha bila kukimaliza basi utakapojiunga tena utajumlishiwa na kile ulichobakiza bila kumaliza...
  3. Amoxlin

    Tushirikishane visa vya fumanizi tulivyovishuhudia na athari zake kwa wahusika

    Leo ikiwa ni wikend tushirikishane baadhi ya visa vya fumanizi tulivyowahi shuhudia au vilivyotutokea sisi binafsi ili tupate funzo. Binafsi nina visa vitano tofauti nilivyovishuhudia. Kisa cha kwanza: Kuna jamaa mmoja alikua tajiri ana mke wake ila baada ya kupata misukosuko ya kiuchumi...
  4. Amoxlin

    JIPU: PSSSF Kilimanjaro na hujuma za mafao ya Wanachama wake

    Habari ndugu zangu. PSSSF kupitia Ofisi za Moshi - Kilimanjaro ina Wanachama wengi wenye vilio vya kuhujumiwa mafao yao (kutolipwa kwa wakati bila sababu). Yapo mafao mengi likiwemo fao la kutokuwa na ajira ambalo mnufaika anapaswa kunufaika nalo kupitia taratibu zilizowekwa kisheria. PSSSF -...
  5. Amoxlin

    Umewahi kuwa na mwenza anayelala vibaya kitandani!!! Umewezaje kumvumilia?

    Amakweli tembea uone...., nimekutana na watu mbalimbali ambao wanalala vibaya kitandani mpaka unaweza amua kulala chini upambane na mbu, umpishe kitanda cha size yeyote ile alale peke yake. Nimejiuliza hivi watu hawa wana wenza wao? Wanalalaje nao? Wakipata mtoto si wanaweza ua bila kujua...
  6. Amoxlin

    JIPU: NBS kutopeleka michango ya waajiriwa wake (HBS) kwa mwaka mzima GEPF.

    Ofisi ya taifa ya takwimu (NBS) imewastaajabisha waajiriwa wake wa muda waliomaliza muda wao wa kazi katika mradi wa HBS uliofanyika kuanzia mwezi Disemba 2017 mpaka Novemba 2018. Katika hali ya kushangaza NBS walikua wakilipa mishahara ya watafiti hao (kwa kusuasua) pasipo kupeleka michango...
  7. Amoxlin

    NBS yawanyima mshahara wa mwisho wadadisi 550s mradi wa HBS baada ya kumaliza mkataba.

    Katika hali isiyo ya kawaida wadadisi zaidi ya 550 waliokuwa wakifanya utafiti wa "mapato na matumizi ya kaya binafsi" (HBS) tangu Dec 2017 na kumaliza Nov 2018 hawajalipwa mshahara wa mwisho wa mwezi uliopita mpaka hivi sasa bila ya maelezo yeyote. Baada ya kumaliza mkataba wadadisi hao...
  8. Amoxlin

    Aladdin - Naam Toh Suna Hoga. Msaada link ya ku-download movie hii OG yenye subtitle!

    Habari wadau, naomba msaada kwa anaejua link nitakayoweza kudownload season OG ya Alladin maana za kutafsiriwa zina kero zake. Natanguliza shukrani.
  9. Amoxlin

    Mke wa mtu kutongozwa kwa makusudi ni kudharauliwa kifikra

    Kwa ujumla mwanaume anapomtongoza mke wa mtu kwa makusudi kabisa anakua kamdharau uwezo wake wa kufikiria na kufanya maamuzi na pindi utakapomkubalia hawezi kumthamini (kumpa thamani) kwani anatambua hata akimmiliki kama mke bado unaweza danganywa na kumsaliti (kutoka nje ya ndoa). Hivyo...
  10. Amoxlin

    Wenzangu mwisho stahiki wa kulala na mtoto mdogo chumba kimoja ni umri gani?

    Naomba msaada wenu ndugu zangu. Kwa uzoefu wenu wazazi wenzangu ni umri gani sahihi wa kumtenga mtoto alale peke yake maana nakwama kufanya mambo ya msingi kwa ufanisi. Mikikimikiki kidogo tu unakuta mara kashtuka, unataka kufanya mambo yako yy hataki kulala... Ukisema uvunge alale kwanza...
  11. Amoxlin

    Visa vya Mapenzi na Maisha ya Shule ya Upili.

    Baada ya kuhamia ktk shule moja mkoani Kilimanjaro (jina kapuni kuepuka wasiojulikana) maisha yangu yalibadilika kutokana na maisha niliyoyakuta. Visa vya mtungo, kutoroka shule usiku na kurudi alfajiri, kufanya ngono madarasani, msituni, kutembea na walimu nk ilikuwa sehemu ya matukio ya...
  12. Amoxlin

    Mliowahi Kushinda Madau Makubwa BIKO au Tatu-Mzuka njooni mtupe ushuhuda!

    Habari ndugu zangu. Nimeanza kupata hofu baada ya kugundua kwamba mchezo wa tatu mzuka draw inachezeshwa mchana, mshindi anapewa taarifa na usiku ni marudio tu. Hofu yangu ni je, kama draw inachezwa mchana na usiku inarudiwa tena machine ina stop kwny namba ileile ya mchana.... Inashindikanaje...
  13. Amoxlin

    Huduma gani inakuvutia ktk Bank inayokuhudumia?

    Habari wana-jukwaa? Kumekua na ongezeko kubwa la mabenk ktk kipindi cha karibuni. Kila mteja amevutiwa na baadhi ya huduma na kuamua kujiunga na bank inayomuhudumia. Binafsi naipenda CRDB kutokana na huduma zake kupatikana kwa haraka, (wahudumu wa kutosha) bila matatizo ya kupotea kwa network...
  14. Amoxlin

    Wanaume tupunguze kujirahisisha kingono

    Mara nyingi wanaume tumekua tukijigamba na kujiona vidume kwa kutembea na wanawake wengi. Ukweli uliopo ni kwamba huu si ujanja bali ni kutojitambua thamani yako na kujirahisisha. Kila mwanamke anaekatiza mbele yako unamfungulia zipu. Hembu tuweni serious kidogo. Chagua mmoja mnayeelewana...
  15. Amoxlin

    Tatizo ni "Vibamia" au Maumbile ya wadada yamekongoroka na kupwaya?

    Habari ndugu zangu? Naomba niende moja kwa moja kwny mada husika. Ni muda kidogo hili suala la "vibamia" limeibuka, na hii ni ktk kizazi hiki cha utandawazi ambapo zinaa imeshika kasi kuliko kitu kingine. Wadada wamekua wakitulaumu wanaume kuwa na "vibamia" ila napata wasiwasi kama tatizo ni...
  16. Amoxlin

    Utafanyaje ukikutana na hali hii (toilet leaves) ukweni?

    Kama mnavyojionea ndugu zangu, Tanzania ni kubwa na kila jamii ina utamaduni wake. Ndio siku umeenda ukweni kukaa siku mbili tatu na kukuta hali kama hiyo chooni na haja imekukamata si utani, pia upatikanaji wa maji ni mdogo sana.... Siku tatu zitakalika kweli??? Kama nakuona vile [emoji3]...
  17. Amoxlin

    Msaada: Mtoto kutokwa na damu puani usiku alalapo

    Habari wana jamvi? Nimekuja hapa kuomba msaada kwa Wataalamu wanaoelewa haswa kuhusu tatizo la mtoto mdogo miaka 1 - 4 kutokwa na damu puani wakati wa usiku alalapo. -Je, tatizo hili husababiswa na nini? -Je, nawezaje kukabiliana na tatizo hili? Ahsanteni sana.
  18. Amoxlin

    Malaika wa kwanza atua Jf kwa kishindo kutimiza matamanio yale.

    Ndugu zangu, yanayotokea sasa kwa mmiliki wa Jf ni wazi kwamba ni dalili kuu ya "malaika wale" kushuka kwa ajili ya kutimiza kazi moja tu ya kuifunga mitandao ya kijamii. Matamanio ya mfalme ni maagizo yasiyo ya moja kwa moja, anachotamani mfalme kitokee ni lazima watumishi wake wapigane kufa...
  19. Amoxlin

    Msaada: Mafunzo ya Udereva wa Magari ya abiria.

    Habari ndugu ktk Jf. Nna leseni ya udereva daraja "D" yenye muda wa mwaka na nusu. Je, kwa mujibu wa sheria na taratibu za nchi naweza kuongeza daraja lingine baada ya muda gani? Je, naweza kwenda daraja "C" bila kupitia daraja "E"? Naomba ufafanuzi kwa wenye uelewa juu ya mambo haya.
  20. Amoxlin

    Suala la Ajira lifafanuliwe vyema kama ifanywavyo katika ununuzi wa ndege za JPM.

    Habarini wanajf. Mara nyingi nimeona ufafanuzi mzuri juu ya ununuzi wa ndege katika awamu hii ya tano. Tunatajiwa aina ya ndege, uwezo wake wa kubeba abiria pamoja na lini itawasili nchini. Upande wa pili katika suala la ajira hapa kumekua kama kichaka. Hakuna alieko tayari kulidadavua suala...
Back
Top Bottom