Amoxlin
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 3,781
- 4,118
Baada ya kuhamia ktk shule moja mkoani Kilimanjaro (jina kapuni kuepuka wasiojulikana) maisha yangu yalibadilika kutokana na maisha niliyoyakuta.
Visa vya mtungo, kutoroka shule usiku na kurudi alfajiri, kufanya ngono madarasani, msituni, kutembea na walimu nk ilikuwa sehemu ya matukio ya kawaida sana ktk shule hiyo...
Nakumbuka kuna mwanafunzi alipigwa mtungo na wavulana saba (7) eneo la forest, (binti huyo aliact ktk video mojawapo ya nyimbo za 20% iliyotamba miaka ya nyuma). Na bint huyo alitembea pia na mwl mmoja aliekuwa ameathirika hapo shuleni japo sijui kama alipata maambukizi au la.
Katika shule yetu karibu kila mvulana alikuwa na mpenzi wake na walimu walikua wakizitambua pair karibu zote.
Baadhi ya walimu wenye ofisi za kujitegemea walitumia vyema fursa hiyo kuwatafunia dada zetu ofisini na nyumbani pia kwani hakukuwa na zuio la wanafunzi kwenda kwny nyumba za walimu.
Hakuna alietamani kumaliza shule kutokana na maisha ya anasa tuliyokua tukiishi.
Sijui nyinyi wenzangu ktk shule zenu hali ilikuaje?