Amoxlin
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 3,781
- 4,118
Mara nyingi wanaume tumekua tukijigamba na kujiona vidume kwa kutembea na wanawake wengi.
Ukweli uliopo ni kwamba huu si ujanja bali ni kutojitambua thamani yako na kujirahisisha. Kila mwanamke anaekatiza mbele yako unamfungulia zipu. Hembu tuweni serious kidogo.
Chagua mmoja mnayeelewana mpange maisha na wengine wakikuona pia watambue unajiheshimu na huwezi thubutu kuwavua nguo.
Mwanaume wa kweli hachepuki.
Povu [emoji36] [emoji36] [emoji36] ruksa!