JIPU: PSSSF Kilimanjaro na hujuma za mafao ya Wanachama wake

Amoxlin

JF-Expert Member
May 30, 2016
3,784
4,097
Habari ndugu zangu.

PSSSF kupitia Ofisi za Moshi - Kilimanjaro ina Wanachama wengi wenye vilio vya kuhujumiwa mafao yao (kutolipwa kwa wakati bila sababu).

Yapo mafao mengi likiwemo fao la kutokuwa na ajira ambalo mnufaika anapaswa kunufaika nalo kupitia taratibu zilizowekwa kisheria.

PSSSF - Kilimanjaro inachukua mpaka zaidi ya miezi tisa (9) au mwaka baada ya Mwanachama kumaliza mkataba wake, kujaza fomu husika pamoja na viambatanisho vyake vyote kwa usahihi na kuvikabidhi ofisini.

-Je, kuna mchezo mchafu unaendelea kwenye fedha za wanachama?
-Je, kuna Maofisa wanajinufaisha kwa kuziweka fedha za wanachama kwenye mzunguko kabla ya kuwalipa?

PSSSF - Kilimanjaro imuulikwe kwa macho makali dhidi ya jambo hili ukilinganisha na Mikoa mingine ambayo hulipa kwa wakati wateja wa kada moja wenye mkataba uleule unaohujumiwa na Ofisi za Kilimanjaro.

Je, ni ngazi gani ya juu vilio hivi vinaweza kufikishwa na kufanyiwa kazi ikiwa Ofisi nzima inaungana katika hujuma?

Msaada na ushauri wenu tafadhali.
 
Attachments

  • IMG_20190812_132828_917.JPG
    IMG_20190812_132828_917.JPG
    110.2 KB · Views: 13
PSSSF nchi nzima ni corrupt kabisa. Nenda PSSSF Kijitonyama Dar es Salaam pale ni mashetani kabisa. Nadhani waliomba kazi kwa shetani wakatoa makafara wakapewa kazi kwa lengo LA kumtumikia shetani wakiwa wakiwa Ofisini kwa kuwazungusha na kusema uongo na kupoteza barua za wanufaika na mambo kibao mabaya kiasi kwamba hiyo ofisi bora ifungwe au wafanyakazi wake wote wafukuzwe au waamishiwe mikoa mingine maana ni shida.

Utaenda unamadai yako halali unaambiwa andika barua. Utaaandika barua zaidi ya 10 kila ukienda hawana kumbukumbu.

Kuna linamba lao 0800110040 na 0800110055 kila ukipiga simu unajibiwa majibu kana kwamba ndo unaanza kufuatilia. Hawana rekodi kabisa.

Mimi nasema hata huyo mkurugenzi wa PSSSF na bodi ya wakurugenzi hawafai wako pale kumtumikia shetani na kuzuia mafao/mapunjo ya wanachama! They should be skinned alive!
 
Naamini kuna mchezo mchafu unaendelea katika hizi ofisi na pengine wakubwa hawajui au wanahusika.

Kama fedha yako ilikua ikipelekwa ni kwanini usikabidhiwe kwa wakati sahihi unaopaswa kukabidhiwa?

Ni Udhalimu na Ushetani mtupu.
 
PSSSF nchi nzima ni corrupt kabisa. Nenda PSSSF Kijitonyama Dar es Salaam pale ni mashetani kabisa. Nadhani waliomba kazi kwa shetani wakatoa makafara wakapewa kazi kwa lengo LA kumtumikia shetani wakiwa wakiwa Ofisini kwa kuwazungusha na kusema uongo na kupoteza barua za wanufaika na mambo kibao mabaya kiasi kwamba hiyo ofisi bora ifungwe au wafanyakazi wake wote wafukuzwe au waamishiwe mikoa mingine maana ni shida.

Utaenda unamadai yako halali unaambiwa andika barua. Utaaandika barua zaidi ya 10 kila ukienda hawana kumbukumbu.

Kuna linamba lao 0800110040 na 0800110055 kila ukipiga simu unajibiwa majibu kana kwamba ndo unaanza kufuatilia. Hawana rekodi kabisa.

Mimi nasema hata huyo mkurugenzi wa PSSSF na bodi ya wakurugenzi hawafai wako pale kumtumikia shetani na kuzuia mafao/mapunjo ya wanachama! They should be skinned alive!

Mambo ya PSSSF hayo.
 
Habari ndugu zangu.

PSSSF kupitia Ofisi za Moshi - Kilimanjaro ina Wanachama wengi wenye vilio vya kuhujumiwa mafao yao (kutolipwa kwa wakati bila sababu).

Yapo mafao mengi likiwemo fao la kutokuwa na ajira ambalo mnufaika anapaswa kunufaika nalo kupitia taratibu zilizowekwa kisheria.

PSSSF - Kilimanjaro inachukua mpaka zaidi ya miezi tisa (9) au mwaka baada ya Mwanachama kumaliza mkataba wake, kujaza fomu husika pamoja na viambatanisho vyake vyote kwa usahihi na kuvikabidhi ofisini.

-Je, kuna mchezo mchafu unaendelea kwenye fedha za wanachama?
-Je, kuna Maofisa wanajinufaisha kwa kuziweka fedha za wanachama kwenye mzunguko kabla ya kuwalipa?

PSSSF - Kilimanjaro imuulikwe kwa macho makali dhidi ya jambo hili ukilinganisha na Mikoa mingine ambayo hulipa kwa wakati wateja wa kada moja wenye mkataba uleule unaohujumiwa na Ofisi za Kilimanjaro.

Je, ni ngazi gani ya juu vilio hivi vinaweza kufikishwa na kufanyiwa kazi ikiwa Ofisi nzima inaungana katika hujuma?

Msaada na ushauri wenu tafadhali.
Hivi kwanini Taasisi hii isifutwe tu ?
 
Back
Top Bottom