Search results

  1. J

    Wanawake ni watu kama sisi; tofauti ni mfumo wa uzazi tu: KWANINI TUNAWATUKUZA?

    Hawa binadamu wanaenda chooni kama sisi, wanahitaji kula kama sisi, wanaumwa na kwenda Hospitali kama sisi: Kwanini mwanaume uhonge nyumba, gari au kulipia tendo la ngono (ambayo ndio tofauti pekee...yaani mfumo wa uzazi ndio tofauti yetu). Hawa watu wanapenga kamasi kama sisi, wanapumua hewa...
  2. J

    Godoro jipya linauzwa

    *Ni Tanfoam Premium lenye Spring *Ni "5x6 *Kimo ni "6 *Limetumika mwezi 1 *Bei ya Wakala wa Tanfoam ni Laki 3 *Godoro lipo Arusha, wa mikoani MTASAFIRISHIWA maana lina RISITI *Bei yangu ni Laki na elfu 70 MNUNUAJI NJOO INBOX.
  3. J

    Nimepata majanga, nauza godoro la Tanfoam premium kwa bei ya hasara, ni jipya

    Godoro la Tanform Premium linauzwa Tsh 180,000/= bei ya hasara. Limetumika mwezi 1, bado jipya kabisa. Ni "5x6. Kwa mnaoelewa Godoro hili basi mtachangamkia fursa. Njoo inbox (SERIOUS BUYERS ONLY).l
  4. J

    Haimo kabisa, ati "mikono juuu" kwani nmekuja kuombewa, "piga kelelee" nmekwambia nina mapepo?

    Haimoooooo. Ndio maana kaka Magu hajaja...angepiga Tumba gani sasa kama kila anayepanda stejini anapumulia maiki na kutuambia tupige kelele? shabash
  5. J

    Nifanye nini watu wasijue kuwa nimelewa kazini?

    Nimejiajiri (yaani Freelancer) na nimeona mabadiliko makubwa maana sina stress za kuamka mapema niwahi kazini, ila huwa nina wa-treat wateja kama mabosi zangu hivyo nina nidhamu kwenye kazi yangu. Tatizo nimejikuta nimekuwa mlevi wa kupindukia baada ya kuona wateja ni ngumu kutoa hela kama...
  6. J

    Nimenunua miwani kukinga macho lakini bado watu watajua kuwa nimelewa. Nifanyeje nisijulikane?

    Nimejiajiri (yaani Freelancer) na nimeona mabadiliko makubwa maana sina stress za kuamka mapema niwahi kazini, ila huwa nina wa-treat wateja kama mabosi zangu hivyo nina nidhamu kwenye kazi yangu. Tatizo nimejikuta nimekuwa mlevi wa kupindukia baada ya kuona wateja ni ngumu kutoa hela kama...
  7. J

    Maisha ya Dar ni magumu sana kwa walio nje ya system: Jua kali, mmebanana, sijui mnatafuta nini huko

    Naombeni tu mrudi mikoani kwenu muwaachie waliozaliwa hapo maana hao ndio wenye Dar. Nyie ambao babu zenu walihamia Dar miaka ya 60 na mlioenda Dar kwa malori na treni, mna maisha magumu hakuna mfano. Tatizo ukizoea shida unakuwa 'Surviver' matokeo yake unaendelea na routine bila kuwaza. Kuna...
  8. J

    Watu maarufu na wanasiasa wanakulaga bata wapi? mana Club huwaoni wala kwenye Hotel kali nazopitaga

    Hawa wenzetu huwa wanakula raha wapi? maana ninapowaona na kuwasikia ni kwenye media na mitandaoni tu na tv na redio. Ni kweli huwa hawatoki out hata na wenza au washkaji zao? na ni wapi maana club zetu hawaonekani, kempiski au hyatt utakuta wahindi tu na maCEO tusiowajua.
  9. J

    Nimeacha kumtumia ya matumizi mke wangu aliyeko Dar baada ya thread zenu za kumegeana huko jijini

    Kwakweli lazima atakuwa kishamegwa na mnaendelea kumega, halafu mimi wa mkoani ndo nitunze??! aaah wapi. Naona meseji zake akisema "kwahyo ndo hunitumii hela sio?!"...kumbe usikute anatype huku amekalia kitu hahahah! Nilikuwa natuma hela kwaajili ya yake na mtoto, lakini saivi wapite kulia...
  10. J

    Kama tuna mikataba 22 na Morocco, tunayo mingapi na Marekani?

    Wadau, Nimejaribu kuwaza tu, kichwa cha habari kinajieleza. Pia kwa kuongezea, mbona mikataba mingine huwa haitangazwi kwa Press conference, why this one?
  11. J

    Nataka kuweka kile kipini cha chuma juu ya jicho, huwa kinawekwaje na ni bei gani?

    Wakuu, Nadhani mnajua kina Lil Wayne na watoto wengi wa kishua utakuta ana kichuma flani hivi either juu ya jicho pembeni ya nyusi au kidevuni. Ni wapi wanafanyaga hizo shughuli kwa hapo Arusha, na bei yake ni kama sh ngapi? Pia ningependa kujua huwa kinawekwaje na pia kama kuna side-effects...
  12. J

    Nimegundua Arusha wanakuja watu wakubwa wa dunia kimya kimya na wanaondoka kimya kimya

    Labda kwasababu ndio kitovu cha utalii East Africa au hali ya hewa!! Aisee, kuna watu wazito, matajiri wa ulaya i.e. Mark Zukerberg na wanasiasa wa US, kina Snooop Dog n.k. wanakuja kimya kimya kula bata au kutembelea mbuga katika hali ya usiri sana, hakuna cha selfie wala waandishi wa habari...
  13. J

    Nauza Kinanda na Gitaa, nimeacha muziki

    Wakuu, vyote vipo kwenye hali nzuri, almost vipya hasa Kinanda maana hakijamaliza hata miezi 3. Gitaa ni YAMAHA, linatumia umeme pia. Lina begi na cable yake. Kinanda ni TANSEN, kina begi na stand yake. Nimeambatanisha picha. Nimeacha Muziki maana nimefanya sana lakini kina Diamond wanakuja...
  14. J

    Hivi hayo makalio mnayosema Giggy Money anayo ni yapi? jamani kuwa wenye makalio, sio Giggy

    Kila kukicha, mara kwenye nyimbo kuimbwa...ati ana bonge la t*ako, ni lipi hasa?? jamani, nimekutana na maduu wana nyau aibu. Acheni kupaisha mtu bila research.
  15. J

    Kwanini Mkenya haoni tatizo kupenga Kamasi wakati mnakula au kutupa Pedi barabarani?

    Kwa miaka mingi niijue Kenya kwa kuishi kule, wakenya wana hii ta bia ambayo naiona sio busara, inakera na hata hawjishtukii: yaani Mkenya haoni tatizo kupenga kamasi wakati wa chakula, madada hawaoni tatizo kutupa pedi iliyotumika sehemu ya uwazi k.v. njiani n.k. kwanini?
  16. J

    Immigration imeishiwa Vitabu vya Passport, hata ukihonga Laki 5 hupati kitu!!!

    Wadau, Kwa mujibu wa mimi mwenyewe na Facilitators wangu walioko Ofisi za uhamisho jijini Arusha ni kwamba Ofisi za Uhamiaji jijini Dar es Salaam/Serikali haina vitabu vya Passport kubwa na Stock ya mwisho iliisha tarehe 11 July. Kwanini Serikali isubiri hadi vitabu viishe? ina maana kwamba...
  17. J

    Tanzania ni mwanachama wa SADC, Je, naweza kusafiri South Africa kwa Passport ya Temporary?

    Wadau, Nina safari ya dharura kuelekea bondeni South Africa. Given the fact that my country is a SADC member, je naweza kutumia Temporary Passport kufika South Africa? Muda wa kuprocess Passport ya kitabu utakuwa mrefu kwangu kiasi cha kupoteza safari. Maoni na ushauri tafadhari.
  18. J

    Nauza HP Pavilion Workstation: 12 RAM GB, i5, TouchScreen, 1 Terabyte

    Wakuu, Nimeamua kuirelease Workstation yangu ya HP Pavilion: 12 RAM GB, i5, 1 Terabyte, TouchSreen. Kiukweli nimepiga nayo mamilioni sema ndo ivo kuna majanga yamenipata...sina budi kuipiga bei. Niliinunua Milioni 3 n nusu. NAIUZA 1 MILLION. Imetumika 6 months. CALL 0719063544. PS: Nilisahau...
  19. J

    I'm a Social Media Manager, I'm looking for a Job

    Hello JF members, I am a Social Media Manager/Online Community Manager with 4 years' experience in the field, having worked in several major brands in Tanzania. I'm now looking for a job. Core duties to succesfully engage your online audince (Social Media Management) require knowledge of...
  20. J

    Huwa nawahurumia sana kinadada ambao wadogo zao wanaolewa wao bado wanang'aa macho

    Na wakati mwingine utawakuta wanapewa tu mimba na kuendeleza umoja wa single mothers, lakini wadogo zao ni ndoa mwendo mdundo. Lingine linalonishangaza ni wale wadada (27+) wanaohudhuria na kushiriki Harusi za wengine (marafiki zao) huku wao bado ni Divas...how is this possible on good...
Back
Top Bottom