Nimepata majanga, nauza godoro la Tanfoam premium kwa bei ya hasara, ni jipya


J

Joel Johansen

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2016
Messages
249
Likes
295
Points
80
J

Joel Johansen

JF-Expert Member
Joined May 12, 2016
249 295 80
Godoro la Tanform Premium linauzwa Tsh 180,000/= bei ya hasara. Limetumika mwezi 1, bado jipya kabisa. Ni "5x6. Kwa mnaoelewa Godoro hili basi mtachangamkia fursa. Njoo inbox (SERIOUS BUYERS ONLY).l
 

Attachments:

Hajto

Hajto

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2013
Messages
2,454
Likes
1,328
Points
280
Age
29
Hajto

Hajto

JF-Expert Member
Joined Sep 30, 2013
2,454 1,328 280
Godoro la Tanform Premium linauzwa Tsh 180,000/= bei ya hasara. Limetumika mwezi 1, bado jipya kabisa. Ni "5x6. Kwa mnaoelewa Godoro hili basi mtachangamkia fursa. Njoo inbox (SERIOUS BUYERS ONLY).l
Kwani dukani linauzwa kiasi gani
 
Chuck j

Chuck j

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2011
Messages
2,285
Likes
590
Points
280
Chuck j

Chuck j

JF-Expert Member
Joined Jun 17, 2011
2,285 590 280
Sasa wew unsuzaje
 
mkonongo1938

mkonongo1938

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2016
Messages
1,748
Likes
1,889
Points
280
Age
49
mkonongo1938

mkonongo1938

JF-Expert Member
Joined Jan 22, 2016
1,748 1,889 280
Laki moja nakupa cash
 
J

Joel Johansen

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2016
Messages
249
Likes
295
Points
80
J

Joel Johansen

JF-Expert Member
Joined May 12, 2016
249 295 80
Bei ya hasara 180,000/=?
Neno hasara limetumika vibaya.
Wewe ndio unapotosha. Sijui hata km ushawahi kulalia Premium Mattress.
 
Nifah

Nifah

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2014
Messages
26,381
Likes
25,918
Points
280
Nifah

Nifah

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2014
26,381 25,918 280
Wewe ndio unapotosha. Sijui hata km ushawahi kulalia Premium Mattress.
Nimeongelea neno hasara na sio godoro...
Kama ni godoro yes ndilo nililolalia hadi nikakua,tena OG kutoka kiwandani Arusha.
 
J

Joel Johansen

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2016
Messages
249
Likes
295
Points
80
J

Joel Johansen

JF-Expert Member
Joined May 12, 2016
249 295 80
Nimeongelea neno hasara na sio godoro...
Kama ni godoro yes ndilo nililolalia hadi nikakua,tena OG kutoka kiwandani Arusha.
Pia hili lipo Arusha na limenunuliwa Unga Limited kiwandani
 
kijana wa leo

kijana wa leo

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2011
Messages
2,602
Likes
5,942
Points
280
kijana wa leo

kijana wa leo

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2011
2,602 5,942 280
Elfu hamsini ipo cash mkuu, usafiri kwangu, seriously seller only.
 
Miss Natafuta

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Messages
21,805
Likes
36,369
Points
280
Miss Natafuta

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2015
21,805 36,369 280
pale juu kajibiwa Nifah
hapa chini kajibu Miss Natafuta

au ndio yake mambo ya ID nyingi kumbe mtu mmoja?
nilidhani kaniuliza mimi sory mimi sio nifah mkuu
 

Forum statistics

Threads 1,275,227
Members 490,947
Posts 30,536,187