Joel Johansen
JF-Expert Member
- May 12, 2016
- 242
- 319
Kwa miaka mingi niijue Kenya kwa kuishi kule, wakenya wana hii ta bia ambayo naiona sio busara, inakera na hata hawjishtukii: yaani Mkenya haoni tatizo kupenga kamasi wakati wa chakula, madada hawaoni tatizo kutupa pedi iliyotumika sehemu ya uwazi k.v. njiani n.k. kwanini?