Nauza HP Pavilion Workstation: 12 RAM GB, i5, TouchScreen, 1 Terabyte

Joel Johansen

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2016
Messages
249
Likes
284
Points
80

Joel Johansen

JF-Expert Member
Joined May 12, 2016
249 284 80
Wakuu,

Nimeamua kuirelease Workstation yangu ya HP Pavilion: 12 RAM GB, i5, 1 Terabyte, TouchSreen. Kiukweli nimepiga nayo mamilioni sema ndo ivo kuna majanga yamenipata...sina budi kuipiga bei. Niliinunua Milioni 3 n nusu. NAIUZA 1 MILLION. Imetumika 6 months. CALL 0719063544.

PS: Nilisahau kunotify jambo moja: in screen crack...hivyo robo ya screen sio Touch, nilienda kwenye duka flani la IT wakasema they can change a screen kwa laki 2 (maximum price). but sikuwahi kuona uhitaji, nimekuwa nikipiga nayo kazi hivyo hivyo (yaani Touch ni upande mmoja wa kushoto). so nimekuwa natumia Mouse just like any other Computers kwa upande wa Screen but capacity yake iko pale pale. IN THAT REGARDS, NTAOMBA LAKI 8, HIYO LAKI 2 KABADISLISHIE KIOO KAMA UTAONA KUNA HAJA YA KUTUMIA FULL-SCREEN TOUCHSCREEN. ova.
 

Joel Johansen

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2016
Messages
249
Likes
284
Points
80

Joel Johansen

JF-Expert Member
Joined May 12, 2016
249 284 80
Natuma sasahivi, ngoja nifanye utaratibu wa Camera. Pia nilisahau kunotify jambo moja: in screen crack...hivyo robo ya screen sio Touch, nilinda kwemnye duka flani la IT wakasema hey can change a screen kwa laki 2 (maximum price). but sikuwahi kuona uhitaji, nimekuwa nikipiga nayo kazi hivyo hivyo (yaamni Touch ni upande mmoja wa kushoto). so nimekuwa natumia Mouse just like any other Computers kwa upande wa Screen but capacity yake iko pale pale. IN THAT REGARDS, NTAOMBA LAKI 8, HIYO LAKI 2 KABADISLISHIE KIOO KAMA UTAONA KUNA HAJA YA KUTUMIA FULLSCREEN TOUCHSCREEN. ova.
 

Attachments:

Forum statistics

Threads 1,203,564
Members 456,824
Posts 28,119,016