Joel Johansen
JF-Expert Member
- May 12, 2016
- 242
- 319
Haimoooooo. Ndio maana kaka Magu hajaja...angepiga Tumba gani sasa kama kila anayepanda stejini anapumulia maiki na kutuambia tupige kelele? shabash
ThanksHivi mbona hatuna matamasha ya classic music kama ya akin don william julio igneous dolly patron na sir elton john?
Natamani siku moja tumwalike yule mama aliyemwimbia JK wimbo wa kiswahili kule Australia aje na jazz bendi yake.
Ha,ha,haaaaa.....Ukiweka mikono juu ukishusha hakuna simu wala wallet mfukoni vyote vilishaibiwa, hili genge hatari sana