Search results

  1. A

    Katibu PCT ana ongea na Media Saa nne eneo la Makuburi !!!!!!!!!!!!!!!!

    Leo saa nne Askofu David Mwasota anaongea na Waandishi wa Habari eneo la Makuburi kasani kwake juu ya Mkutano wa Jumapili utakaofanyika Mnazo mmoja. Wakati huohuo leo saa saba Jukwaa la Wakristo wanaongea na Media eneo la Rutha House Wao wanatoa ufafanuzi juu ya Kauli ya Kikwete kuhusu...
  2. A

    Magazeti Habari Corp Yameanza Kumjenga Lowassa na Kubomoa CHADEMA!

    Tangia Kibanda kuvamiwa sijui ni nani anakaimu nafasi yake maana kwa sasa magazeti hayo yanabomoa Chadema na kumujenga Lowassa , Soma gzt leo Mambo yafuatayo yameongelewa: 1.Freemani Mbowe amempa Mimba Joyce Mukya na sasa amejifungua mtoto na kufichwa nje ya nchi kwenye nyumba ya Mbowe 2.Mbowe...
  3. A

    Matokea Form Green Acres na Bujugo Kughushi Cheti Cha Ualimu

    Diwani Wa CCM Dkt Juliana Bujugo ametajwa kuwa ana elimu ya darasa la nne , lakini alianza kwa Kughushi vyeti na kujiita Mwalimu Juliana Bujugo na sasa hivi anajiita Doctor Bujugo. Miaka ya Nyuma aliwahi kuhushwa na kashifa ya kuiba mitihani na kuwahamasisha walimu wake Kuwafanyia mitihani...
  4. A

    Historia Fupi na Matibabu ya Askofu Thomas Laizer!!!!

    Alizaliwa Machi 10,1945 katika Kijiji Cha Ketumbeine Arumeru. Alisoma Shule ya Msingi Long'indo na Kuhitimu darasa la Saba 1965. Alijiunga na Shule ya Sekondary Arusha. Baada ya Kuhitimu masomo ya Sekondary alijiunga na Masomo ya Theology Chuo Cha Makurumila na kuhitimu 1972. Aliendelea na...
  5. A

    Wapinzani Malawi :Nchi Imemshinda Rais Joiyce Banda !!!!!

    Wapinzani Malawi Wametoa Waraka wenye Kurasa sita Wakimtuhumu Rais Banda kuwa ameshindwa kutawala Malawi Kwa Sababu Zifuatazo: 1. Mfumuko wa Bei umeonogezeka kwa 28% 2. Amekuwa anakamata Wapinzani kwa lengo la kuua Upinzani nchini 3.Tangia aingie Madarakani Wtumishi wa serikali ambao...
  6. A

    Ni nani asiyemtambua Dr. Slaa?

    Jaman naomba kuuliza ni nani asiyemtambua Dr. Slaa. Mzee huyu namkubali kwa msimamo wake na kwa kutotafuna maneno, Kuanzia kwenye kampeni mpaka hivi leo bado msimamo wake uko pale pale. Kama huwezi amini basi amini hili mfano mzuri Alitangaza kutokumtambua JK kama rais wa JMT na sasa hakwenda...
  7. A

    Ukweli kUhusu Mgogoro wa Seif na Hamad Rashid CUF

    Nimefuatilia makoa mkuu ya CUF nikagundua kuwa hali ni tete kwani kuna makundi Moja ni la Hamadi Rashid na Jingine ni la Maalim Seif Na kwamba makosa aliyofanya Seifu yamewagusa wengi na hapana Shaka kwamba ameanza kuyarekebisha!!! Moja ya Mambo ambayo yamekuwa kero kubwa ni suala la...
  8. A

    Ukweli kUhusu Mgogoro wa Seif na Hamad Rashid CUF

    Nimefuatilia makoa mkuu ya CUF nikagundua kuwa hali ni tete kwani kuna makundi Moja ni la Hamadi Rashid na Jingine ni la Maalim Seif Na kwamba makosa aliyofanya Seifu yamewagusa wengi na hapana Shaka kwamba ameanza kuyarekebisha!!! Moja ya Mambo ambayo yamekuwa kero kubwa ni suala la...
  9. A

    Askofu Gamanywa amwalika waziri Pinda kwenye matembezi jumamosi ijayo

    Taifa la Vikombe vya Mwaisapile na Gamanywa, Makinda na India Askofu gamanywa wa wapo Mission ameanzisha huduma inayoitwa Mamaritaliana katika vituo viwili vya mwanzo (wapo mission na mbezi jogoo) ammbapo ameingia ubia na...
  10. A

    Kwa nini rais Kagame alimuua Juvenary lakini hajapelekwa ICC?

    Rais paul kagame wa rwanda anatajwa kuwa ndiye aliye panga njama za kulipua ndege iliyombeba rais juvenal habyarimana wa rwanda akiwa na ruzibiza abdul na wenzake. Baada ya kulipua ndege yalifuata mauaji makubwa yaliofanykia kwa wahuntu na kuacha nchi katika machafuko huku...
  11. A

    Kesi ya kakobe kesho,Cd ya umafia wa Rwakatare yawasilishwa

    Kesi ilikuwa imetatajwa leo sas imehairishwa mpaka kesho. Kutokana na jaji muhusika kutokuwepo.
  12. A

    JK kapanga njama kumusafisha lowasa mitambo ya Dowans

    WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA MAREKANI ANATEMBELEA MITAMBO YA DOWANS, HAPA NCHINI. JAKAYA KIKWETE ANACHEZEA NA AKILRI ZA WATANZANIA KWA KUENDELEA KUMULEA EDWARD LOWASA NA ROSTAM AZIZI AMBAO WAMEFILISI NCHI NA KUTUACHIA MATATIZO MAKUBWA . RICHMOND NI KAMPUNI YA KITAPELI NA ILILETWA NA...
  13. A

    Kwa nini TFDA hawatangazi dawa hatari za waganga wa kienyeji?????

    Siku hizi waganga wa kienyeji wanasajiliwa na wizara ya afya na wanapeleka dawa zao kwa mkemia mkuu. Sasa kuna dawa za kienyeji ambazo ni hatari , kama matunguri kwani yanaqua watu!!! Sasa kwa nini tfda hawatangazi na kupiga marufuku dawa hizi??? Zipo dawa za kuongeza makalio , dawa...
  14. A

    Sakata la Dowans: Balozi Paul Ndobho amemtaka Rais Kikwete kuvunja baraza la mawaziri!

    Kufuatia mgongano wa mawaziri kuhusu sakata la malipo ya Dowans, Balozi Paul Ndobho ambaye aliwahi kuwa mbunge wa Musoma Vijijini mkoani Mara amemtaka Rais Kikwete kuvunja baraza la Mawaziri!! Pia alimupongeza Samweili Sitta kwa kuwa mzalendo na shujaa Augustino Mrema yeye amemtaka Rais...
  15. A

    Bilali yupo wake wawili mbuga serengeti wakati udomu wanataka atatue mgomo!!!

    Wahadhiri udomu na wanafunzi wamegoma !!!! Wahadhiri wanamtaka jk au bilali akawatatulie tatizo la nyongeza ya mshahara , sasa bilali anatanua na wake wawili mbuga ya serengeti ambayo kila siku analipa 10m kwa chumba!! Haya ni matumizi mabaya ya fedha za wananchi na dharau kubwa .!!! Mauaji...
Back
Top Bottom