Ni nani asiyemtambua Dr. Slaa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni nani asiyemtambua Dr. Slaa?

Discussion in 'Celebrities Forum' started by ASKOFU MSAIDIZI, Nov 28, 2011.

 1. A

  ASKOFU MSAIDIZI JF-Expert Member

  #1
  Nov 28, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 209
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jaman naomba kuuliza ni nani asiyemtambua Dr. Slaa. Mzee huyu namkubali kwa msimamo wake na kwa kutotafuna maneno, Kuanzia kwenye kampeni mpaka hivi leo bado msimamo wake uko pale pale. Kama huwezi amini basi amini hili mfano mzuri Alitangaza kutokumtambua JK kama rais wa JMT na sasa hakwenda Ikulu kwa makubaliano kama walivyofanya viongozi wengine.

  Nakukubali sana mzee ndo maana umeenda shule.

  Kwa haraka haraka naomba upitie C.V ya Raisi wa Tanzania Ijayo.
   
 2. A

  ASKOFU MSAIDIZI JF-Expert Member

  #2
  Nov 28, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 209
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hongera Dr. wa ukweli........................................
   
 3. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #3
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Dr wa ukweli,

  naona kama vile Rais Kikwete kauza vile kale ka-opochuniti tuliompa juu ya Muswada wa Makinda vile. Sasa nadhani njia ni nyeupe kufikisha mashtaka yetu kwa wenye nchi kila kona ya Tanzania Bara naa Visiwani.

  Kazi iendelee!!!
   
 4. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #4
  Nov 28, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,966
  Trophy Points: 280
  Huyo ni dr wa nini! Huyo nae ni fisadi wa Elimu.
   
 5. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #5
  Nov 28, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Faizafoxy
   
 6. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #6
  Nov 28, 2011
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Rais wake ni nani tanzania au ni mungu tu ndio rais wake? Jamaa anautaka urais kwa nguvu zote.
   
 7. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #7
  Nov 29, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Duu! Mie simfahamu kabisa ni nani vile?
   
 8. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #8
  Nov 29, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Alisema hautambui mchakato mzima uliomwingiza jk ikulu sio rais
   
 9. Omutwale

  Omutwale JF-Expert Member

  #9
  Nov 29, 2011
  Joined: Feb 4, 2008
  Messages: 1,429
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  ASKOFU MSAIDIZI,

  Nina mashaka makubwa na Madhabahu yako. Itakuwa inawaongoza kondoo wa Bwana kwenda kusiko Mbinguni.

  Dr. Slaa na Chadema kwa ujumla hawajawahi kutangaza kutomtambua JK au Rais wa JMT bali walitangaza na daima wanasisitiza kutotambua mchakato uliopelekea Rais kurudi madarakani. Na ili kuleta suluhu ya kudumu katika mchakato na si Tassisi (Rais) au Mtu (JK) ndo maana mara tu baada ya Uchaguzi wakaanza moja kwa moja na moto wa kudai katika mpya. Katiba itakayowezesha mchakato wa kuwa na uchaguzi huru na wa haki. Yaani kupatikana kwa Tume Huru ya Uchaguzi
   
 10. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #10
  Nov 29, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Tunahitaji muongozo juu ya huu muswada batili uliotiliwa sahihi na Rais Kikwete.
   
Loading...