ASKOFU MSAIDIZI
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 209
- 23
Alizaliwa Machi 10,1945 katika Kijiji Cha Ketumbeine Arumeru.
Alisoma Shule ya Msingi Long'indo na Kuhitimu darasa la Saba 1965.
Alijiunga na Shule ya Sekondary Arusha.
Baada ya Kuhitimu masomo ya Sekondary alijiunga na Masomo ya Theology Chuo Cha Makurumila na kuhitimu 1972.
Aliendelea na Masomo ya juu ktk Chuo Kikuu cha Warburg Marekani na kuhiyimu 1984.
January 4,1987 alisimikwa rasimi kuwa Askofu wa dayosisi ya Mkoa Arusha.
UGONJWA NA MATIBABU.
Miaka kumi iliyopita alianza kuhisi kuwa anatatizo la tezi upande wa kushoto na kufanyiwa matibabu ktk hospili mbalimbali .
Mwaka 2010 alizidiwa na kupelekwa SELIAN HOSPITAL ARUSHA NA BAADAYE KUKIMBIZWA NAIROBI KENYA ambapo alitibiwa na kushauriwa aende India kwa matibabu Zaidi.
Kabla ya kupelekwa India alikwenda Kwa Babu (Mch Ambilikile Mwasapila) Loliondo akiwa na Mhe Edward Lowasa na wote wakapata Kikombe na akashuhudia kuwa amepona!!!!!!!!!!!!!!!.Ushuhuda huu uliwavuta Mawaziri wengi sana akiwemo Steven Wasisra, Willium Lukuvi, Mangufuri....
Septemba 2012 alipelekwa India na kupatiwa matibabu ambapo walibaini kuwa tezi limesababisha saratani na alirejea nchini na kupelekwa serian Arusha ambapo ametibiwa hapo hadi kifo Chake!!!
Nimeleta hii taarifa baada ya kuona kuna watu wanaposha kwa kusema kuwa ugonjwa wa Askofu Laizer umewekwa Kampuni wakati unajulikana na upo katika orodha ya Magonjwa sugu yaliyotangazwa kupatiwa tiba na Kikombe Cha Babu!!!
Monday, April 04, 2011
MH NIMROD MKONO NA WAZIRI WASIRA WANYWA KIKOMBE CHA BABU LOLIONDO
Waziri wa Nchi ofisi ya Rais (Uhusiano na Uratibu)Steven Wassira(kushoto) na Mbu
Baadhi ya wajumbe wa kamati kuu ya CCM taifa wakihudhuria semina maalum iliyofunguliwa na kuongozwa na Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Leo tarehe 10/2/2013 tarkatika ukumbi wa White House,Makao makuu ya CCM mjini Dodoma.
Mhe Edward Lowassa anaonekana hana hatakaratasi moja wakati wenzake wote wana makaratasi yawezekana ana majonzi kutokana na kifo Cha Askof Laizer aliyemtegemea kisiasa kupita Urais 2015.