Bilali yupo wake wawili mbuga serengeti wakati udomu wanataka atatue mgomo!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bilali yupo wake wawili mbuga serengeti wakati udomu wanataka atatue mgomo!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ASKOFU MSAIDIZI, Jan 11, 2011.

 1. A

  ASKOFU MSAIDIZI JF-Expert Member

  #1
  Jan 11, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 209
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wahadhiri udomu na wanafunzi wamegoma !!!!
  Wahadhiri wanamtaka jk au bilali akawatatulie tatizo la nyongeza ya mshahara , sasa bilali anatanua na wake wawili mbuga ya serengeti ambayo kila siku analipa 10m kwa chumba!!

  Haya ni matumizi mabaya ya fedha za wananchi na dharau kubwa .!!!
  Mauaji yametokea hakuna kiongozi wa serikali anaye jitokeza kwenda kwenye msiba!!!
   
 2. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #2
  Jan 11, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0

  Hivi alivyokwenda huko mbugani na wake wawili.. anafanya zamu za usiku hadi huko?
   
 3. Rugaijamu

  Rugaijamu JF-Expert Member

  #3
  Jan 11, 2011
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 2,588
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Mwache ale bwana si ndo walivyoamua ccm kwa kumtosa urais wa zenji!Kula baba kula ujenge shavu,ikibidi hamia hukohuko kabisa....
   
 4. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #4
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,288
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Nashukuru kwa kusema,kuna vyeo vingine viko kikatiba zaidi kuliko kiutendaji?ingekuwa Pinda huyo au JK sawa,Bilal??????sina uhakika na hiyo 10m,ni exagerration but pumzika Mh,kufa kwaja na huwezi jua CCM itaanguka na urais aliokuwa anataka ili awatumikie wa-zanzibar alishanyimwa,so muache ale na kufurahi na wake zake wazuri na wanawe wapendwa.
   
 5. M

  MsandoAlberto JF-Expert Member

  #5
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,019
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Katika hali ya kawaida naogopa kujiuliza maswali ninayojiuliza sasa. Kwa umri wangu (ukilinganisha na umri wa Mzee Bilali) haya maswali ninayojiuliza yanaweza kutafsiriwa ni ukosefu wa heshima!! Lakini kwa sababu nimeshajiuliza labda niwashirikishe walimwengu mnisaidie kupata majibu aidha kutokana na uzoefu wenu au uelewa.

  Je kwa wiki hizo mbili huko Serengeti Mzee Bilali alikuwa amechukua chumba kwa ajili ya kila mke wake au walichukua chumba kimoja ikawa wanayoita wazungu 'threesome' (kwa fikra hizi hapa ndipo ninapopata wasiwasi wa kuonekana mtovu wa adabu).....

  Au, kama aliwachukulia kila mmoja chumba chake ina maana alikuwa anazunguka chumba hadi chumba au ilikuwaje?? Au ndio bi mkubwa anapewa nafasi ya kwanza??
   
 6. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #6
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,288
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Kwa niaba yake nasema jibu ni NDIYO mkuu!
   
 7. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #7
  Jan 11, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 2,996
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Hakuna chumba hata kimoja huko Serengeti chenye thamani hiyo, hata huko Gurumeti haifiki rate hiyo!
   
 8. MartinDavid

  MartinDavid JF-Expert Member

  #8
  Jan 11, 2011
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 871
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Yeye ni mmoja wa waliokuwa walimu wa chuo cha udom lakini hakumbuki tena kuangalia maslahi ya wenzake yeye keshapata ulaji... Kwanza ni aibu kubwa sana kutembea na wake wawili.. Hata ukimwangalia vizuri utajua kuwa anakula raha tuu yeye.. Sijui kazi yake kubwa ni nini...
   
 9. T

  Tata JF-Expert Member

  #9
  Jan 11, 2011
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,344
  Likes Received: 273
  Trophy Points: 180
  Hii nadhani tuipeleke kule kwenye mahusiano na mapenzi ili ipate uchangiaji mzuri zaidi.
   
 10. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #10
  Jan 11, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0

  Hivi alivyokwenda huko mbugani na wake wawili.. anafanya zamu za usiku hadi huko?
   
 11. Mbaha

  Mbaha JF-Expert Member

  #11
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 695
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Aliyeshiba hamjui mwenye njaa!!!!
   
 12. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #12
  Jan 11, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,809
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  wewe ukiwa likizo huwa unalazimishwa kurudi kazini?

  Nini maana ya delegation?

  je, angekua na mke mmoja ungesema uliyosema? kama ni ndio then why mentioning his private life/spouses?

  Neither Bilal nor JK can solve the problem, its only rational thinking and justice that can stop the demo
   
 13. k

  kalamuzuvendi Member

  #13
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 65
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Wewe acha Upuuzi, huu ni msimu wa sikuku na ndio unaishia. Wengi wapo kwenye annual leave, akiwemo makamu wa Rais, sasa wewe unataka afanye nini? Na watu wasivyokuwa na akili, wanakuunga mkono.
  Mawazo ya kipinzani....umasikini wa mawazo!!
   
 14. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #14
  Jan 11, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  ahaaahhhaaaa basi mzee yuko vizuri...lakini wanazemaga mwanaume hazeeki wanazeeka wanawake katika ile shughuli!
   
 15. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #15
  Jan 11, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,968
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mnachoooooonga, sijui mnataka uheadmistress!
   
Loading...