Katibu PCT ana ongea na Media Saa nne eneo la Makuburi !!!!!!!!!!!!!!!!

ASKOFU MSAIDIZI

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
209
23
Leo saa nne Askofu David Mwasota anaongea na Waandishi wa Habari eneo la Makuburi kasani kwake juu ya Mkutano wa Jumapili utakaofanyika Mnazo mmoja.

Wakati huohuo leo saa saba Jukwaa la Wakristo wanaongea na Media eneo la Rutha House Wao wanatoa ufafanuzi juu ya Kauli ya Kikwete kuhusu Suala la Kuchinja.

Issue ni kwamba Kauli ya Kikwete inawaposha Waumini kuwa Maaskofu wamekubali kuwa Waislam wachinje sasa wanatoa ufafanuzi

Source: Naioth Gospel Assembly (0713 417427)
 
Wakristo wana haki ya kuchinja wala haihitaji media hapa, sihitaji kusubili kuchinjiwa!
 
Back
Top Bottom