Search results

  1. pangalashaba

    Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania, kuna shida gani kwenye Website yenu kipengele cha careers?

    Habari za majukumu great thinkers? Kuna hii shida kwenye website ya TADB ambayo ni zaidi ya mwezi mzima sasa, kila nikijaribu kuingia upande wa careers inaleta majibu kwamba kuna critical error kwenye website. Ila cha ajabu ni kwamba vipengele vingine vyote vipo sawa na hakuna shida yoyote...
  2. pangalashaba

    Mbwana Samata arejea kwenye ubora wake.

    Mchezaji wa kimataifa kutoka nchini Mbwana Samata anayecheza soka la kulipwa nchini Belgium emerejea katika ubora wake baada ya leo hii kuifungia magoli mawili timu yake ya Genk dhidi ya Sporting Charleroi katika ligi kuu ya nchi hiyo maarufu kama First Division A. Timu ya Genk ukiibuka washindi...
  3. pangalashaba

    Hatimaye Man City bingwa EPL

    Man U wamelazimishwa wamtangaze bingwa mapema japo walikuwa wanabisha na hawataki. Hii ni baada ya kupokea kipigo cha goli moja kwa bila wakiwa nyumbani Old Trafford kutoka kwa West Brom Albion . Hii inawafanya kuwa nyuma kwa point 16 dhidi ya Man City huku wote wakiwa wamesalia na mechi tano...
  4. pangalashaba

    Inahitajika Toyota Land Cruiser Hard Top

    Wasalaam wana jf. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Inahitajika Toyota Land Cruiser Hard Top iliyo katika hali nzuri. Iwe full AC plus Airbag. Iwe macho ya panzi. Kwa mwenye nayo au anafahamu inapopatikana aje PM pls. NB: Maana ya kuulizia jf ni kwamba inahitajika iliyokwishatumika...
  5. pangalashaba

    Msaada kuhusu First Aid Kit kwenye gari ndogo, nimekamatwa asubuhi hii na Traffic

    Habari za Jumamosi wanajamvi, Tafadhali mwenye ufahamu wa masuala ya usalama barabarani naomba anieleweshe kuhusiana na hili. Alfajiri ya leo nikiwa namsindikiza ndugu yangu stand kuu ya mabasi Arusha, nilisimamishwa na askari wa usalama maeneo ya USA River, akakagua kigari changu premio then...
  6. pangalashaba

    Fastjet tena; Abiria wa kwenda Dar kutokea KIA wakwama

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida, abiria ambao ilikuwa wa safari na ndege ya kampuni ya fastjet flight number FN0154 saa sita kasoro robo (11:45) wameshindwa kuondoka kwa wakati. Hivyo safari yao imepelekwa mbele mpaka sana tisa na dakika hamsini (3:45). Hakuna taarifa yoyote iliyotolewa na...
  7. pangalashaba

    Hatimaye Zari abwaga manyanga

    Tanzanian showbiz couple Diamond Platnumz and Zari Hassan have reportedly broken up. This is after the Ugandan socialite deleted all the photos she had taken with Diamond. Diamond had over the past month admitted to cheating on Zari. The fairy-tale love story of Tanzanian showbiz couple...
  8. pangalashaba

    How My Dad Pablo Escobar Escaped His Own Prison

    habari wana jf.. katika pita pita yangu kwenye mitandao ya kijamii nimekutana na hii story nikaona sio mbaya kushare na wana jf.. so atakayeweza kuwa na muda wa kutosha ikupitiia basi apate elimu... kitu attached..
  9. pangalashaba

    Siipendi kabisa hii kitu inaitwa MBA (Masters of B'ness Administration)

    Habari zenu wanajamvi... Pia samahani kwa wale mtakaokwazika na uzi huu. Hakika ni jambo lisilofichika kwamba kwa sasa hv watanzania wameamka na kufahamu umuhimu wa elimu kuliko kipindi chote toka tumepata uhuru thats why hata vyuo vya elimu ya juu vimeongezeka maradufu ndani ya miaka 10-15 hv...
  10. pangalashaba

    Mama hii huku...

    kuna jamaa mmoja alikuwa ameoa na ana mtoto mmoja wa kiume mwenye umri wa miaka minne.. kutokana na ugumu wa maisha jamaa alikuwa amepanga chumba kimoja uswazi hivyo ili kuepuka ufinyu wa chumba jamaa aliamua kutengeneza kitanda cha double deck,yeye akilala juu na mkewe na mtoto wao akilala...
Back
Top Bottom