pangalashaba
JF-Expert Member
- Jan 10, 2011
- 1,325
- 1,615
Na vipi una lolote kuhusu Osama bin Laden na yale tunayoaminishwa?Uongo mtupu how can you escape from prison of your puppet Master, and get killed like no body bussiness, Biashara ya Madawa ni endelevu kwa watu wenye nafasi ktk ulimwengu wa Kwanza! ilifanyika na itafanyika! mpaka Yesu aje!!!
Escobar ni mzimaaa na yupo live anakula Bata aliyeuawa ni mwingine kabisa tu kajamba nani na aliandaliwa kufa bila yeye kujua. Akili za kimagharibi zionega hivohivo km huja china utanambia! Ukifanyaaaa yao weee! unafika mahali wanakwambia acha katulie sehemu! tuachie sisi hii imetosha! Mobutu walimwambia ila kiburi cha mafanikio kikamponza!
Kabla ya kufanya kitu na mzungu jiulizege hawa watu!!
Joseh Konyi yuko wapi? USA ilimshindwa kweli? si ilishirikiana na SERkali ya Uganda kumsaka? uliwahi sikia mrejesho?
Carlos the wakal Jackal yuko wapi? Anakula bata si kawaida.
Kabila mdogo yuko wapi?
Savimbi, Mobutu, Idd amin walijifanya wajanja kuliko wao walicho kipata kila mtu anajua!
Xuma
Adolf Hitre Baba lao! unadhani hawakujua yuko wapi? Joseph Mengele alijua janja ya huyu bwana mbona alijitokeza?
Mugabe walimhurumia na kupunguza kasi yao ya ufanyishaji!
Hisen Habre nk kilichompata wooote humu mnajua.
Suleiman Rushdie yuko wapi kimyaaaaaa! na alitumiwa na wao!! aliye panga kumuua kafa yeye kifo kibaya.
Usichezee wanasiasa wa Dunia wako smart sana kijana!! tena mnoo! wanaweza kukufanya uka jipinga kuwa wewe siyo mtu, na ikawa hivo! utashindwa kunywa mimaji bureee!!
Conspiracy theories !! ndo siraha yao kubwa sana wanaitumia! kwanza walimtengeza wao wenyewe ajili ya kuvuruga nchi za kiarabu! unadhani kwa akili ya kawaida tu watamuua mtu wao? walio muandaa kwa miaka mingi na gharama? yule sasa hivi anakula Pensheni!?Na vipi una lolote kuhusu Osama bin Laden na yale tunayoaminishwa?
Ahsante sana mkuu! Nimeelewa vemaConspiracy theories !! ndo siraha yao kubwa sana wanaitumia! kwanza walimtengeza wao wenyewe ajili ya kuvuruga nchi za kiarabu! unadhani kwa akili ya kawaida tu watamuua mtu wao? walio muandaa kwa miaka mingi na gharama? yule sasa hivi anakula Pensheni!?
Jiulize swali rahisi tu kwa nini wamzike kwa kificho vile? Osama alipata wapi hayo maujanja ya kutumia Ma mbinu ya kijeshi hivo na siraha? Bush family wanajua mwanzo mwisho siyo siri ya kila m USA.
Global Elites wana mipango ya miaka 50 mbele sisi Africa ndo tunaishi km mbuzi mara lisu mara jiwe kanipuuzi!
Nilovyosoma title tu nikamkumbuka escobar wa narcoa mexicohabari wana jf.. katika pita pita yangu kwenye mitandao ya kijamii nimekutana na hii story nikaona sio mbaya kushare na wana jf.. so atakayeweza kuwa na muda wa kutosha ikupitiia basi apate elimu... kitu attached..
Hujafuatilia vyema stori za Joseph Kony.Uongo mtupu how can you escape from prison of your puppet Master, and get killed like no body bussiness, Biashara ya Madawa ni endelevu kwa watu wenye nafasi ktk ulimwengu wa Kwanza! ilifanyika na itafanyika! mpaka Yesu aje!!!
Escobar ni mzimaaa na yupo live anakula Bata aliyeuawa ni mwingine kabisa tu kajamba nani na aliandaliwa kufa bila yeye kujua. Akili za kimagharibi zionega hivohivo km huja china utanambia! Ukifanyaaaa yao weee! unafika mahali wanakwambia acha katulie sehemu! tuachie sisi hii imetosha! Mobutu walimwambia ila kiburi cha mafanikio kikamponza!
Kabla ya kufanya kitu na mzungu jiulizege hawa watu!!
Joseh Konyi yuko wapi? USA ilimshindwa kweli? si ilishirikiana na SERkali ya Uganda kumsaka? uliwahi sikia mrejesho?
Carlos the wakal Jackal yuko wapi? Anakula bata si kawaida.
Kabila mdogo yuko wapi?
Savimbi, Mobutu, Idd amin walijifanya wajanja kuliko wao walicho kipata kila mtu anajua!
Xuma
Adolf Hitre Baba lao! unadhani hawakujua yuko wapi? Joseph Mengele alijua janja ya huyu bwana mbona alijitokeza?
Mugabe walimhurumia na kupunguza kasi yao ya ufanyishaji!
Hisen Habre nk kilichompata wooote humu mnajua.
Suleiman Rushdie yuko wapi kimyaaaaaa! na alitumiwa na wao!! aliye panga kumuua kafa yeye kifo kibaya.
Usichezee wanasiasa wa Dunia wako smart sana kijana!! tena mnoo! wanaweza kukufanya uka jipinga kuwa wewe siyo mtu, na ikawa hivo! utashindwa kunywa mimaji bureee!!
Teteee! tee! te! wacha hizo dogo! unajua aliye wazika wazazi wa Konyi? na jumba la kifahari walilo jengewa hao wazazi wa Konyi unamjua!!!Hujafuatilia vyema stori za Joseph Kony.
Yule jamaa wanasema anatumia nguvu za ziada katika kufanya mambo yake.
Ingawa wanasema ni mgonjwa lakini bado anawafuasi kama 200 hivi ambao anakua nao na wanamlinda, anakua anamove baina ya misitu ya Uganda na sudan.
Kuna kikosi maalum cha wanajeshi wa Uganda wenye ujuzi wa kusoma movement za mtu ila mpaka sasa hawajafanikiwa kumpata, kila wakimkaribia unakuta alishaondoka eneo hilo muda mchache uliopita .
Ingawa hawajachoka kumtafuta ila kumkamata sio rahisi labda azidiwe na ugonjwa wake alio nao na kuwa dhaifu au itokee kutokuelewana yeye na kikundi chake hicho cha vijana wake aliobakia nao.
Heheh imekaa kiyatima yatima flani ananyanyasika. Jiwe kanipuuzaHuku Afrika sisi Africa ndiyo tunaishi kama mbuzi mara Lissu mara jiwe kanipuuza... [emoji16]!