Search results

  1. marejesho

    Ilikuwa tarehe kama ya leo january 2011

    Tarehe kama ya leo, mwezi wa kwanza, mwaka 2011 (6th Jan 2011), Nilipata fursa ya kujiunga na Jamii Forums. Namshukuru Mungu kwa kuniwezesha kudumu humu jamvini mpaka sasa .. SABABU YA KUJIUNGA Habari za SIASA motomoto nilizokuwa nikizipata miaka ile kwenye JAMBO FORUMS, ndizo zilikuwa chachu...
  2. marejesho

    Tanga kunani 28th - 30th Dec 2012

    Kwa kweli ilikuwa raha sana.... Jionee mwenyewe tulikopita na tuliyoyaona ........ Copy: Filipo , Mwanyasi , PakaJimmy , Blaki Womani , Preta , Arushaone , Lily Flower , wera Wera watu8 , Madame B , KOKUTONA , Dark City , Arabela , Chuwa kachara , watu8 , Smile
  3. marejesho

    Mlemavu msomi

    Nawasalimu wanaJF kwa upendo .. Leo mida ya saa nne hivi asubuhi, tumepata mgeni wa kushtukiza ofisini (BUBU).. Mgeni huyu kwa njia anazojua yeye,alibahatika kumdanganya mlinzi(mzembe) na kuruhusiwa kuingia moja kwa moja mjengoni. Huyu jamaa ni pande la mtu, kavaa smart sana na ni mtu...
  4. marejesho

    Airtel number 0782*86*7*

    Ndugu zangu naombeni msaada wa haraka,na ushauri namna ya kudeal na huyu mtu mwenye hii namba.. Kanipigia kwenye namba yangu ya Voda asubuhi sana ,sauti ya mwanadada(ila ana claim kuwa ni mwanaume), akaniuliza kama mimi ni ndugu na somebody Abubakari,nikamwambia hapana ni wrong number...
  5. marejesho

    Marafiki wa arusha ntawamiss sana

    Wapendwa,Nimeona nichukue nafasi hii,kuwataarifu kwamba natoka nje ya JIJI kidogo!!Natoka kwenye JIJI nakwenda JIJI lingine(DAR)!! Filipo my hubby,be good,I will miss you sana Erickb52 Arushaone LiverpoolFC ,@Blaki Woman Mzee wa Rula ,mke mwenza sweetlady Preta kwa kweli ntawamiss...
  6. marejesho

    A letter to my darling!

    In the Journal of my heart, I have written a Journal Entry, Debiting my love & crediting my affection, Now Filipo my hubby, you write the Narration. Your love, is the Capital of our business, And your voice,eyes are Stock In Trade, Now let us enter into a Transaction, Without providing...
  7. marejesho

    Basi la Taqwa lagonga mtu

    Taarifa zilizinifikia muda si mrefu, Wanakijiji wamefunga njia baada ya Taqwa kugonga mtu karibu na Makambako.Nimeambiwa labda jeshi liende ndio magari yatapita.
  8. marejesho

    Calendar for july 2012 (this happens once every 823 years)

    THISIS THE ONLY TIME WE WILL SEE AND LIVE THIS EVENT Calendar for July 2012 (United States) July Sun Mon Tue Wed Thu...
  9. marejesho

    Rotavirus: Ugonjwa unaotishia maisha ya watoto!!!!

    Kuna message nimetumiwa muda si mrefu,nimeona nilete hapa JF Doctor angalau mwenye kujua zaidi atupatie somo!! SMS Kuna ugonjwa wa tumbo umeingia kwa watoto age between 1 to 5yrs and even to 10 yrs na hospital zote hapa hawaujui. Watoto wawili wa kike waliokua wanasoma na mwanangu...
  10. marejesho

    Sikukuu ya Wafanyakazi (MEI MOSI 2012)

    Kutokana na yaliyoendelea bungeni,imenilazimu kujiuliza maswali mengi! Tarehe 1/5/2012 ni sikukuu ya Wafanyakazi !Je, Serikali pamoja na kuwa na deni la trilioni 14,watathubutu kukopa tena kuadhimisha siku hii? Kutakuwa na ulazima gani wa kusherekea siku hii wakati wananchi wana majeraha...
  11. marejesho

    VodaCom mmeniamsha saa 7 usiku!

    Nimeshtuka usingizini,baada ya simu yangu kutoa mlio kuashiria kwamba nimetumiwa message(sms). Kufungua sms,imetoka vodacom kwenye number 15500 inasema ''Fabrice Muamba wa Bolton Wanderer,bado yupo mahututi baada ya kuzimia katika robo fainali la kombe la Uingereza dhidi ya Tottenham"...
  12. marejesho

    Bonyeza send!!!

    Foleni ndeeeefu kwenye daladala, Jamaa kaona heri amtumie SMS bosi wake kumtaarifu kuwa atachelewa. Ile kumaliza kuandika tu, kibaka kakwapua simu. Jamaa kwa kujua kitakachofuatia kazini,kaishia kupiga kelele' Bonyeza send, bonyeza send! bonyeza send wewee!
  13. marejesho

    Njia ya peponi

    Padri alipotea mjini center, akamuambia kijana mmoja, naomba unifahamishe posta ilipo, kijana akamfahamisha mpaka akapajua. Padri akamjibu asante kwa kunionesha njia na wewe njoo kanisani nikuoneshe njia ya peponi, Kijana akamwambia, imekushinda ya posta ukaijue ya peponi?
  14. marejesho

    Shetani naye yumo!!!!!

    Mtumishi wa MUNGU mmoja akiwa kwenye gari alisimamishwa na Trafic Police,police akiwa anahitaji rushwa alianza kuuliza maswali mengi, mara mbona gari lako linatoa moshi mwingi? mbona gari lako matairi yameisha, hatimaye polisi akamuamuru padre waende nae kituoni. Njiani polisi alimuuliza ...
  15. marejesho

    Siloamu ministry washerekea christmas leo

    Kwa waliofanikiwa kuangalia TBC,dhehebu la Siloamu washerekea Kuzaliwa kwa Bwana Yesu Leo!! Pia kutokana na unabii waliopata,leo wanaingia rasmi majira mapya, pia nimepata taarifa hata siku ya ibada itabadilika! Badala ya kusali jumapili na kuungana na wakristo wengine ulimwenguni,wao watakuwa...
  16. marejesho

    Karibuni kwetu moshi

    Sala Kuu: MOSHI: Mungu Onyesha Sehemu Hela Iko    Viitikio: 1. Hata Ikipungua Mungu Ongeza! (HIMO) 2. Mungu Angalia RAia NGawira Utuhakikishie! (MARANGU) 3. Mungu Ahidi Mapesa Bila Ajira! (MAMBA) 4. Mungu Wekeza Ishara Kwenye Akaunti!(MWIKA) 5. Kristu Imarisha Leo Elimu na...
  17. marejesho

    Tuige romania

    Waziri wa Romania amejiuzulu baada ya wananchi kuandamana,kutokana na Uchumi kuzorota ! Wananchi walitishwa ili wasitishe mgomo lakini waliendelea na mgomo wao umezaa matunda! Sisi tunasubiri nini kuhusu huyu waziri wa afya? Source TBC fm
  18. marejesho

    Kizungu kigumu

    Kiingereza kigumu kuna mtu alitaka kumsifia Mzungu akaropoka:- you're hippopotamus! (wewe ni kiboko)
  19. marejesho

    Jf doctor kugoma?

    Madaktari wametangaza mgomo rasmi kesho tarehe 24 Jan!!Je nyie mtasupport?Tunaomba kujulishwa mapema,hatutaki suprise!!!
  20. marejesho

    Happy new year or heavy new year

    Petrol bei juu! "Umeme hali kadhalika" Kodi za nyumba balaa, Mchele na Nyama usiseme! Makanisani sadaka juu wanataka noti sio sarafu! Mahari nazo hatari, School fees utadhani unanunua shule, Nauli ya kivukoni juu, mabasi ndo balaa! Je hii ndiyo HAPPY NEW YEAR uliyo nitakia 2012 au HEAVY...
Back
Top Bottom