Karibuni kwetu moshi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Karibuni kwetu moshi

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by marejesho, Feb 9, 2012.

 1. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #1
  Feb 9, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Sala Kuu:
  MOSHI: Mungu Onyesha Sehemu Hela Iko
    

  Viitikio:
  1. Hata Ikipungua Mungu Ongeza! (HIMO)
  2. Mungu Angalia RAia NGawira Utuhakikishie! (MARANGU)
  3. Mungu Ahidi Mapesa Bila Ajira! (MAMBA)
  4. Mungu Wekeza Ishara Kwenye Akaunti!(MWIKA)
  5. Kristu Imarisha Leo Elimu na Mapesa Akauntini! (KILEMA)
  6. Kristu Imarisha Riziki Ujaze Akaunti! (KIRUA)7. Usitunyime Riziki Uchumi! (URU)
  8. Kila Ikipungua Baba Ondoa Siasa Hela Ongeza! (KIBOSHO) (By the way, Wakibosho si wanasiasa!!)
  9. Mungu Atupe Chanzo Halisi na Ambacho Mapesa ni
  Endelevu!( MACHAME)
   
 2. L

  Luluka JF-Expert Member

  #2
  Feb 9, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Ha ha ha,haya bwana!
   
 3. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #3
  Feb 9, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,381
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
  Hahhaaaaa jamaa kwa pesa wameshindikana. Safi sana!
   
Loading...