VodaCom mmeniamsha saa 7 usiku! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

VodaCom mmeniamsha saa 7 usiku!

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by marejesho, Mar 20, 2012.

 1. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #1
  Mar 20, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Nimeshtuka usingizini,baada ya simu yangu kutoa mlio kuashiria kwamba nimetumiwa message(sms).
  Kufungua sms,imetoka vodacom kwenye number 15500 inasema ''Fabrice Muamba wa Bolton Wanderer,bado yupo mahututi baada ya kuzimia katika robo fainali la kombe la Uingereza dhidi ya Tottenham"

  kulikuwa na umuhimu gani voda kuituma muda huo? Pili,tangu saa 7 hiyo mpaka muda huu saa 9, sms hiyo imekuwa ikijirudia!!Imenibidi kutoa mlio maana ni kero!!Tatu, wananijazia inbox bila sababu!

  Pendekezo!
  Kwa vile mnajua mie siko nje ya TZ, na nyie mko humu humu TZ, hakuna mambo ya time difference,please rethink jinsi , muda wa kusambaza hizo sms zenu!!
   
 2. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #2
  Mar 20, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,982
  Likes Received: 729
  Trophy Points: 280
  Wenye mitandao ni kero sana.Mi hao Vodacom wameniibia umeme nilionunua kwa m-pesa mpaka sasa one wk imepita sms ya token haijaja,walisema imetumwa TANESCO.Nilienda kuzua zogo pale Ohio mpaka sasa bado.Matapeli.
   
 3. i

  iMind JF-Expert Member

  #3
  Mar 21, 2012
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 1,907
  Likes Received: 424
  Trophy Points: 180
  I have been getting similar messages from the same number. Naamini hizo messages zinalipiwa ingawa sijaweza ku track ni how much they charge for each message.. Da hii mitandao imekua balaa. Ukipiga simu kabla ya kupokelewa au kuambiwa haipatikani ni lazima usikilizishwe matangazo kwanza. inaboa sana. TCRA ndo hao wamekaa kugawana dollars tu.
   
 4. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #4
  Mar 21, 2012
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,583
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Nadhani kwa message nyingi za kuboa airtel ni baba yao
   
Loading...