Airtel number 0782*86*7*

Airtel number 0782*86*7*

marejesho

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
6,634
Reaction score
3,662
Ndugu zangu naombeni msaada wa haraka,na ushauri namna ya kudeal na huyu mtu mwenye hii namba..
Kanipigia kwenye namba yangu ya Voda asubuhi sana ,sauti ya mwanadada(ila ana claim kuwa ni mwanaume), akaniuliza kama mimi ni ndugu na somebody Abubakari,nikamwambia hapana ni wrong number.. Kaendelea kusumbua mara oh, namba ninayotumia mimi ni ya kwake alikuwa nayo tangu 1988.... (Uongo maana kipindi hiki hakukua na hii mitandao).
Ameendelea kusumbua hanipi kupumua, anabeep kila baada ya dakika 10... Nimejaribu tena kumpigia, kupokea tu anaanza lugha za kina LUSINDE...... ..

Kwa kweli inakera sana kuona kwamba watu wengine lugha za karaha/matusi ni sehemu ya maisha yao....

Kumpotezea ni simple ila huku kubeep kila baads ya dakika kadhaa ndiko kunakoleta udhia......
 
duh,pole mamie. kama unaweza mblock ama umuweke kwenye black list!
 
Ndiyo Dar hiyo na ni Asprin huyo (kidding) Fuata ushauri aliokupa charminglady na vilevile kwa kuongeza akipiga pokea bila kuisikiliza mwache abwabwaje ila usimskize, at the end of the time ataona pesa yake inakwisha ataacha.
Shemejieeh.... NI Upepo tu Utapita.
 
Dah pole sanaa...kama simu yako ina option ya kublock waweza fanya hivyo
 
Ndiyo Dar hiyo na ni Asprin huyo (kidding) Fuata ushauri aliokupa charminglady na vilevile kwa kuongeza akipiga pokea bila kuisikiliza mwache abwabwaje ila usimskize, at the end of the time ataona pesa yake inakwisha ataacha.
Shemejieeh.... NI Upepo tu Utapita.

Shemeji unautani na Babu Asprin . Nitafuata ushauri wa charminglady ...
By the way, nimerudi leo asubuhi...
 
Last edited by a moderator:
Pole sana wife! Huyo jamaa hajui kwamba nimekuoa! I'll do the needful right now. Pokea halafu usiisikilize!
 
duh,pole mamie. kama unaweza mblock ama umuweke kwenye black list!
charminglady nipe maelekezo ya kumblock au kumweka kwenye blacklist. bado mi ushamba wa balang'da haujanitoka hahaaaaa.
Fanya fasta nifanye jambo la maana sasahivi.

Pole marejesho pole kwa kupewa za Lusinde............... ndiyo wana wa adam hao
 
Last edited by a moderator:
Kula mzigo bila ya kutoa pesa huwa inasumbua sana wakati mwenzako alishaibajetia
 
Nimeshairipoti hiyo namba Airtel wanafanya taratibu zao. Ok shem langu marejesho?
 
Last edited by a moderator:
Ndiyo Dar hiyo na ni Asprin huyo (kidding) Fuata ushauri aliokupa charminglady na vilevile kwa kuongeza akipiga pokea bila kuisikiliza mwache abwabwaje ila usimskize, at the end of the time ataona pesa yake inakwisha ataacha.
Shemejieeh.... NI Upepo tu Utapita.

Mkuu huyo atakuwa amejirusha ................... lakini sijui itakuwa mrusho wa namna gani voda kwa airtel??????????!!!!!!!!
 
Kula mzigo bila ya kutoa pesa huwa inasumbua sana wakati mwenzako alishaibajetia
Wingu by saying that what do you mean?? Funguka eleza una maana gani??
 
Last edited by a moderator:
charminglady nipe maelekezo ya kumblock au kumweka kwenye blacklist. bado mi ushamba wa balang'da haujanitoka hahaaaaa.
Fanya fasta nifanye jambo la maana sasahivi.

Pole marejesho pole kwa kupewa za Lusinde............... ndiyo wana wa adam hao

Mkuu Mungi kwani lazima charminglady ndo akusaidie? Nilidhani ungesema yeyote akupe ufafanuzi wa hiyo makitu...
BTW I am available if you real need it just call me au PM. Mbona kwenye sherehe jana Usa River hukuja?
 
Last edited by a moderator:
ama!! balang'da! balang'dalalu!! nani? wewe!!
charminglady nipe maelekezo ya kumblock au kumweka kwenye blacklist. bado mi ushamba wa balang'da haujanitoka hahaaaaa.
Fanya fasta nifanye jambo la maana sasahivi.

Pole marejesho pole kwa kupewa za Lusinde............... ndiyo wana wa adam hao
 
Last edited by a moderator:
Piga 100 Uongee na cc watakupa njia ya kutatua hilo tatizo!

Pole sana!
Ndugu zangu naombeni msaada wa haraka,na ushauri namna ya kudeal na huyu mtu mwenye hii namba..
Kanipigia kwenye namba yangu ya Voda asubuhi sana ,sauti ya mwanadada(ila ana claim kuwa ni mwanaume), akaniuliza kama mimi ni ndugu na somebody Abubakari,nikamwambia hapana ni wrong number.. Kaendelea kusumbua mara oh, namba ninayotumia mimi ni ya kwake alikuwa nayo tangu 1988.... (Uongo maana kipindi hiki hakukua na hii mitandao).
Ameendelea kusumbua hanipi kupumua, anabeep kila baada ya dakika 10... Nimejaribu tena kumpigia, kupokea tu anaanza lugha za kina LUSINDE...... ..

Kwa kweli inakera sana kuona kwamba watu wengine lugha za karaha/matusi ni sehemu ya maisha yao....

Kumpotezea ni simple ila huku kubeep kila baads ya dakika kadhaa ndiko kunakoleta udhia......
 
marejesho Mbona nampigia na hapokei hata! Yani ningempata kuna kitu ningemwambia!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom