marejesho
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 6,635
- 3,655
Kwa waliofanikiwa kuangalia TBC,dhehebu la Siloamu washerekea Kuzaliwa kwa Bwana Yesu Leo!!
Pia kutokana na unabii waliopata,leo wanaingia rasmi majira mapya, pia nimepata taarifa hata siku ya ibada itabadilika!
Badala ya kusali jumapili na kuungana na wakristo wengine ulimwenguni,wao watakuwa wanaabudu siku ya Jumanne!!
Wao jpili itakuwa ni siku ya kawaida tu!!
Sasa waajiri wataanza kupata excuses kutoka kwa wafanyakazi wao wanaosali Siloamu, maana watakuwa ibadani!!
Je,hii ni sahihi? Kama mwanafunzi anasali huko,ina maana hatahudhuria vipindi siku zote za jnne?
Mungu atusaidie!!