Basi la Taqwa lagonga mtu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Basi la Taqwa lagonga mtu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by marejesho, Sep 30, 2012.

 1. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #1
  Sep 30, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Taarifa zilizinifikia muda si mrefu,
  Wanakijiji wamefunga njia baada ya Taqwa kugonga mtu karibu na Makambako.Nimeambiwa labda jeshi liende ndio magari yatapita.
   
 2. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #2
  Sep 30, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,351
  Likes Received: 612
  Trophy Points: 280
  Pole zao! Wananchi wamekuwa wanauawa sana kwa ajali za mara kwa mara, vyombo husika vinaendesha nchi kisiasa. Lini wataanza kufanya kazi kitaalamu? Wangeagiza kifaa kiitwacho ALCOTEST ili drivers wawe wanapimwa mara kwa mara.
   
 3. b

  bmosses Member

  #3
  Oct 1, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Poleni sana jamani huko
   
 4. Metakelfin

  Metakelfin JF-Expert Member

  #4
  Sep 21, 2017
  Joined: Mar 23, 2017
  Messages: 2,162
  Likes Received: 1,754
  Trophy Points: 280
  kwanini jeshi?
   
 5. Beira Boy

  Beira Boy JF-Expert Member

  #5
  Sep 21, 2017
  Joined: Aug 7, 2016
  Messages: 11,293
  Likes Received: 9,990
  Trophy Points: 280
  Duh huo msala wa kufunga barabara ushawah kutukumba huko mtwara aisee nilichoka mwenyewe achana na wamakonde wakichukia ni noma sana
   
 6. N

  Nkanini JF-Expert Member

  #6
  Sep 21, 2017
  Joined: Jun 6, 2017
  Messages: 742
  Likes Received: 746
  Trophy Points: 180
  poleni mno waliofikwa na msiba huu,again tatizo hili ufumbuzi tunao ila tunahitaji political will ili tuweze kuutekeleza,jenga speed camera za kudumu hasa maeneo ambao barabara kuu inapita,camera zinazorekodi muda amabao dereva anasafiri between point A TO B,vile vile elimu ya uraia itolewe kwa wananchi wanaoishi pembeni mwa barabara kuu kuwa lile eneo kisheria hawatakiwi kuwa wanatembea au kukatisha hizi highways isipokuwa sehemu zilizotengwa tu,traffic wetu wanatumia muda mwingi na vitochi kabla ya kuwa on the ground kuelimisha umma.
   
 7. travis 1

  travis 1 Senior Member

  #7
  Sep 21, 2017
  Joined: Feb 17, 2015
  Messages: 184
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 60
  kuweni makini. Hii habari ya muda mrefu sana.
   
Loading...