Search results

  1. K

    Hivi Yanga unbeaten ya 20 hadi 40 mlikuwa wapi?

    Mara paaaap tunaambiwa Yanga Wana michezo 40 bila kufungwa kwenye michezo ya ndani. Tumegeuziwa kibao Tena tunaambiwa ni kwa NBC premier league wakati huko nyuma walijumuisha ASFC Bahati kwao wametukuta watanzania hatujambo kudaka Mambo kwa ushabiki. Naomba mwenye takwimu aweke tujiridhishe...
  2. K

    Hongereni EATV kummalizana na Diamond

    Nimeona Leo nyimbo 2 za Diamond Platnumz zikichezwa
  3. K

    Ikitokea mpaka 25/9/2021 ITC hazijafika, wachezaji wa Yanga watacheza!?

    Naomba nitolewe tongotongo. Vipi ikitokea mpaka tarehe 25/9 ITC hazijafika kwa wachezaji wale wa3 wa Yanga je, watarusiwa kucheza mechi dhidi ya Simba ya ngao ya hisani!!!?? Nawasilisha
  4. K

    Tujikumbushe kejeli za Yanga dhidi ya simba ilipoanza CCL

    1. Mnaenda kulitia aibu taifa. 2. Mechi mbili tu jezi mpya za nini!!!??(Simba walipoanza mashindano CCL walitengeneza jezi mpya) wakimaanisha simba ikienda Algeria na kurudi ndio mwisho wao. 3. Mnaenda Congo mnakula hamsa tena 4..... 5.....
  5. K

    Tujuzane nyimbo zilizotoka za maombolezo ya Magufuli

    Igweeee! Poleni sana ndugu zangu watanzania wenzangu kwa msiba mzito wa taifa letu. Najaribu kupitia mitandao lkn bado sijapata nyimbo za maombolezo. Tushirikishane tafadhali ht kwa kutaja majina au wasanii. Natanguliza shukrani
  6. K

    Wale tunaofua nguo maramoja tu na kuandika tukutane hapa

    Kweli kabisa mi huwa nafua nguo Mara moja tu na kuzianika sababu zangu 1. Nilikuwa nafua maratatu ile Mara ya tatu nikaona tanatoka maji na povu jingi nikajua napoteza muda 2. Nguo zangu hazichafuki km enzi za shule 3. Kucheza sabuni km unafua zaidi ya Mara 1 Nguo zikiwa nyingi naonaga uvivu...
  7. K

    ITV rasmi ndani ya Azamtv

  8. K

    Ukweli mchungu: Hamtaamini Stars itakavyocha mikeka yenu

    Watu hawana matumaini kwamba Stars itapata matokeo ktk mechi yoyote AFCON hivyo Basi wazee wa kuweka mzingo wamepanga 'kuiua' Stars Tena kwa stake kubwakubwa. Nawaambia hivi, hamtaamini hi Stars ya kina Sonso itakavyofanya maajabu...
  9. K

    Ahadi yako iwapo Stars itafuzu 16 bora

    Wengi tunaona hili Jambo haliwezekani kabisaaaa. Mimi Stars wakifuzu nitawapa nitawazawadia 20,000/= Kila mchezaji. Pia nitaanza mchakato wa kugombea Urais 2020 nitaamini hakuna kinachoshindikana hapa duniani Weka ahadi yako tafadhali
  10. K

    Ligi Kuu Tanzania, Bara: Singida United 0 - 0 Yanga SC

    Mchezo unatarajiwa kupigwa katika dimba la Namfua Singida Twende pamoja ........... MCHEZO wa Ligi Kuu Bara kati ya Singida United dhidi ya Yanga kwa sasa ikiwa ni mzunguko wa pili Uwanja wa Namfua, Singida umekamilika kwa suluhu ya bila kufungana. Mashabiki wamejitokeza kwa wingi kuona...
  11. K

    Msaada: Kudownload zuma deluxe na revenge free

    Jamani nimehangaika sn kupata hili game. Naomba mwenye kupata maana huwa napata trial tu Natanguliza shukrani Sent using Jamii Forums mobile app
  12. K

    Msaada: Kudownload zuma deluxe na revenge free

    Jamani nimehangaika sn kupata hili game. Naomba mwenye kupata maana huwa napata trial tu Natanguliza shukrani Sent using Jamii Forums mobile app
  13. K

    Msaada: Kudownload zuma deluxe na revenge free

    Jamani nimehangaika sn kupata hili game. Naomba mwenye kupata maana huwa napata trial tu Natanguliza shukrani Sent using Jamii Forums mobile app
  14. K

    Ikitokea Mapinduzi Cup Simba na Yanga zikakutana

    Simba wamepeleka kikosi kamili huku Yanga wakipeleka wachezaji wachache tu wa kikosi cha kwanza. Najiuliza tu, ikitokea Simba na Yanga zikakutana aidha nusu fainali au fainali yenyewe, nini kitatokea!!??! Ikumbukwe, kwa historia ya timu hizi, ni bora sn simba kufungwa na mashujaa na sio Yanga...
  15. K

    Kigogo yupi kati ya Azam, Simba na Yanga kuanza kuaga kombe la FA?

    Kichwa cha uzi chahusika. Mi naona Simba itaanza japo ndio timu yangu
  16. K

    Je, Yanga wataweka rekodi mpya msimu huu!!???

    Kwanza kabisa mimi ni shabiki kindakindaki wa Simba sc. Sifurahii ushindi wanaopata Yanga lkn nawapongeza Back to the topic Sijawahi kusikia kwamba kuna Msimua walimaliza msimu bila kufungwa licha ya kuchukua kombe la ligi ya tz bara mara nyingi zaidi. Swali ni je, wanaweza kuweka rekodi hiyo...
  17. K

    Msaada mawasiliano KCMC

    Kichwa cha thread chahusika Kwa mwenye mawasiliano kwa mtu/mwalimu yeyote pale KCMC kwani nimetafuta katika website yao nimepata barua pepe na nilipotuma ujumbe majibu hayajanisaidia. Shida yangu kubwa nataka kusoma kozi ya ULTRA SOUND. natanguliza shukrani
  18. K

    Stand United kutaja "Wasiojulika" waliomteka Mo

    Timu ya Simba sc imepania kuiadabisha Stand United kwa kinachoelezwa ni FURAHA iliyotokana kupatikana kwa boss wa timu hiyo Mo hivyo watalazimika kumpoza na kumfariji kwa ushindi mnonoooo. Wakati huohuoSimba wataiadhibu vikali Stand kwakuwa mpk sasa watekaji wa Mo hawajaonekana. Time will tell
  19. K

    Yanga mmemsahau Chilunda kweli!!!????

    Katika mechi za mwisho mwisho msimu uliopita, yanga walifungwa goli tena zaidi ya hili la Ajibu. Naona hawa jamaa wamejisahaulisha kabisaaaaa as if hakuna kilichowahi kuwatokea. Ningewaelewa wangesema kuwa Ajibu amewalipia kwa Chilunda alichowafanya Mkumbuke pia ndio pekee iliyofungwa Hat trick...
  20. K

    Ni wakati wa Yondani kumuomba radhi Asante Kwasi

    Katika mzunguko wa pili msimu uliopita wa ligi kuu Tanzania bara (ikiitwa VPL) mchezo dhidi ya watani wa jadi ulizikutanisha timu hizo na matukio yasiyo ya kiuungwana yalitokea kama yalivyokea hivi karibuni. Katika mchezo huo, mchezaji wa Yanga Kelvin Yondani alionekana kumtemea mate mchezaji wa...
Back
Top Bottom