Ahadi yako iwapo Stars itafuzu 16 bora

Kigenge cha Zero IQ cha chips kitakuwa cha kwangu. By the way ujuwe ili kufika 16 bora zinatakiwa kutoka timu nane na ukumbuke kuna makundi sita kwahyo itatoka timu ya mwisho kila kundi na nyingine mbili zilizofanya vibaya kwahyo stars kuingia 16 bora inawezekana, ila kusonga mbele zaidi ya mpaka nane bora hapo kwakweli ni ngumu kama jiwe kumtumbu makonda.
 
Aiseeeeeeee
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom