Kichwa cha thread chahusika
Kwa mwenye mawasiliano kwa mtu/mwalimu yeyote pale KCMC kwani nimetafuta katika website yao nimepata barua pepe na nilipotuma ujumbe majibu hayajanisaidia. Shida yangu kubwa nataka kusoma kozi ya ULTRA SOUND.
natanguliza shukrani