eatv

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mhaya

    Dullah Planet aliyeacha kazi EATV sasa rasmi ahamia CROWN FM ya Ali Kiba

    Aliyekuwa mtangazaji nguli wa EATV na East Africa Radio, Dullah Planet, Mjukuu wa Wambua rasmi ametambulishwa na kukaribishwa kwenye Radio ya Ali Kiba, Crown Radio. Ambapo tayari accounts za instagram zimepost kuonesha kumkaribisha nguli huyo wa vipindi vya TV na Radio. Wiki chache zilizopita...
  2. Teko Modise

    EATV: Wakandaji wa Yanga kuwasili Machi 28

    Kupitia ukurasa wao wa X zamani Twitter, East Africa TV wametuarifu kuwa wakandaji wa Yanga (Mamelodi Sundowns) watawasili nchini Machi 28 kwaajili ya mchezo wao wa kwanza wa robo fainali ya ligi ya mabingwa Afrika. Mhariri wa EATV ameshawapa nafasi na kuwasapoti Mamelodi kwanini mimi nizuiwe...
  3. Mhaya

    Dullah Planet aaga rasmi EATV

    Mkali wa kipindi cha radio cha Planet Bongo na mkali wa kipindi cha TV cha Friday Night Live "Dullah Planet" wa kampuni ya utangazaji ya East Africa Radio & TV, siku ya leo ametangaza kuaga Rasmi Kituo hicho cha utangazaji. Kupitia Viwanja mlimani city mtangazaji huyo amefanya sherehe fupi ya...
  4. J

    Hii EATV mbona ina wachambuzi wapuuzi hivi?

    Hapa wanaandika eti Simba imerejea nyumbani kinyonge? Simba ilifungwa? Hapana Imeshatolewa CAF CL? Hapana Ina nafasi ya kusonga mbele? Ndio tena kubwa timu imetoa sare ya goli 2-2, yaani hata ikitoa sare ya bila kufungana (0-0) hapa tayari imeshapita, unasema imerudi kinyonge kwa sababu...
  5. Mi bishoo tu

    Mtangaza Lesa wa EATV katika ubora wake

    Mtangazaji wa EATV katika kipindi cha bongo fleva,Lesa Leo katupia viwalo vya kiuchokozi-chokozi.Una maoni gani?
  6. L

    EATV Siamini kama nanyi mnahusika katika hili

    Nimeshimdwa kuvumilia kiplndi chenu cha huyo anaitwa doctor, kimeisha leo jumanne tarehe 04/07/2027 saa nne na dk 59 usiku. Wengi wanao piga simu mnakuwa mmewapanga, waongee ni? Nimeumia sana, aisee hata kama ni pesa, kwann umdanganye mtanzania mwenzako? aisee? Hata kama mna tibu acheni...
  7. Toto mol

    Hivi Najma wa EATV kaolewa?

    Natokea kumkubali sana huyu dada, ni mcheshi halafu ni anapenda comedy fulani. Kwakweli huwa nampenda na nahisi li moyo limemudondokea. Je, kaolewa?
  8. X

    Nani kamdanganya Bhoke wa EATV anapendeza akipepesa macho yake kama kaingiwa na mchanga

    Huyu msichana wa zamani ajuza wa sasa aliyeigiza soft porn enzi za Big Brother ana pozi lake la kupepesa macho mfululizo kama vile kaingiwa na mchanga machoni. Nahisi kuna aliemdanganya anapendeza japo kiuhalisia anakuwa kama mchawi. Sredi tayari
  9. Mystery

    Hongereni sana EATV kwa kuanzisha kipindi bora kabisa cha mjadala wa wazi

    Kimeanzishwa kipindi kipya Cha mjadala katika Televisheni ya EATV, ambacho Kwa mara ya kwanza kilirushwa Jana Jumanne, tarehe 10/02/2023 chenye mada iitwayo Je Siasa safi zinawezekana nchini Tanzania? Wageni waalikwa katika kipindi hicho walikuwa, mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema, John Heche na...
  10. Dr Matola PhD

    Je, ni sahihi kwa DSTV kuziweka ITV, EATV, Clouds TV na Channel Ten kwenye chaneli za kulipia?

    Huenda mimi ndio sielewi basi nielimishwe, lakini kwa upeo wangu mdogo ninavyojua mimi hizo channel ITV, eatv, clouds na channel ten ni FTA channels sasa inakuwaje kifurushi cha Dstv kikiishia wanakuachia Tbc peke yake? Mimi nina king'amuzi pia cha Star times hawa air time ikikuishia free...
  11. K

    Hongereni EATV kummalizana na Diamond

    Nimeona Leo nyimbo 2 za Diamond Platnumz zikichezwa
  12. Kasomi

    Pasha: Mnanikosea heshima kunishindanisha na Harmonize

    BURUDANI Mnanikosea heshima kunishindanisha na Harmonize. Hapo jana Msanii Pasha Mtepa akifanya Mahojiano na kituo cha Runinga cha East Afrika TV alisema watu wanamkosea heshima kumshindanisha na Harmonize kwa sababu yeye ndio wa kwanza kuuwakilisha mkoa wa Mtwara na amekaa muda mrefu kwenye...
  13. Kasomi

    Ferooz: ''Sisi ni maarufu OG sio wa IG"

    BURUDANI 'Sisi ni maarufu OG sio wa IG" - Ferooz Hapo jana Hitmaker wa ngoma ya starehe Ferooz akifanya Mahojiano na kituo cha Runinga cha East Afrika TV amewachana wasanii wa sasa wasiosapoti kazi za wakongwe kwa kusema wao ndio wana umaarufu wa ukweli kuliko wasanii ambao wanaupata Instagram...
Back
Top Bottom