Search results

  1. Bhikalamba

    Nitazipata wapi hizi bidhaa hapa Dar?

    Wadau naulizia erectile creams/sprays hizi nilizoweka kwenye picha zinapatikana wapi kwa hapa Dar. Mwenye uelewa anipe jibu hapa jukwaani au PM.
  2. Bhikalamba

    Ujenzi wa kutumia Megapanels

    Wadau naombeni kujua gharama ya kutumia megapanels kujengea ukuta na pamoja na roofing. Je, ujenzi huu wa kutumia mega panels na ule wa kutumia tofali na bati, upi ni nafuu?. Pia naomba kujua bei ya sheet moja kwa ajili ya ukuta na ya paa pamoja na dimensions zake.
  3. Bhikalamba

    Natafuta movie ya Endless love - 1981

    Wadau wa JF entertainment, Naombeni mwenye soft copy ya movie ya Endless love iliyochezwa na Brooke Shields na Martin Hewitt. Kwenye hiyo movie Brooke alitumia jina la Jade, na Martin alitumia jina la David. Nimejaribu You-tube na alitavista, lakini wapi. Naletewa vipande vipande vifupi...
  4. Bhikalamba

    Counter offensive imeishia wapi?

    Katika kipindi cha mwezi mumoja August to September, tulizoea kusikia HIMARS ni kiboko, ooh Ukraine inaichukua donbass yote na baada ya muda mfupi inayofuata ni Crimea. Sasa hizi kelele zimezimika Kama moto wa mabua. Wayukreini wa Namanyele, Izumacheli na Kazulamimba naombeni update mambo yako...
  5. Bhikalamba

    Maneno haya kutoka maandiko matakatifu yatufundisha nini juu ya tukio la tarehe 17/03/2021?

    Ukisoma katika biblia kitabu cha Matendo ya Mitume, sura ya 12 aya ya 21 hadi 23 (Mdo 12:21-23) imeandikwa: "21 Basi siku moja iliyoazimiwa, Herode akajivika mavazi ya kifalme, akaketi katika kiti cha enzi, akatoa hotuba mbele yao. 22 Watu wakapiga kelele, wakisema, Ni sauti ya Mungu, si sauti...
  6. Bhikalamba

    Wizara ya Elimu na Tamisemi, toeni selection za Kidato cha Tano mapema

    Nawasalimuni kwa jina la JMT Ni muda kitambo umepita (yapata miezi minne) toka matokeo ya kidato cha NNE yatoke, lakini hadi leo selections/placements hazijatoka. Ni vyema kasi iliyopo katika utoaji matokeo iendane sambamba na upangaji wa wahitimu kwenda kidato cha tano na vyuo vya kati. Hii...
  7. Bhikalamba

    Uzi maalum kwako waziri Lukuvi na watendaji wa Wizara ya Ardhi kwa ujumla

    Kwanza kabisa napenda nikupongeze kwa juhudi zako za kutatua migogoro ya ardhi nchini. Pamoja na pongezi hizo, naomba utilie mkazo suala la upimaji ardhi kwa nchi nzima, na udhibiti wa makazi holela. Niseme tu wazi kuwa ujenzi holela na mpangilio mbovu wa makazi katika miji yote nchini ni...
  8. Bhikalamba

    Mimi kiongozi wa familia hii kubwa niko kwenye mtanziko

    Ndg. Zangu wapendwa sana JF, mimi ni baba wa familia kubwa sana ukanda huu wa maziwa makuu. Nimeamua kujenga nyumba bora ya kisasa kwa ajili ya familia ili tupate mahali pazuri pa kulala na hata nikawatambie wote mtaani walio kuwa wananibeza kwa kakibanda kangu nilikokuwa najisitiri. Ili...
  9. Bhikalamba

    Ushauri kwa CHADEMA na Lissu

    Kwanza kabisa nipende kukupa pole Ndg. Lissu kwa masahibu yaliyo kupata. Pia nikupongeze kwa kuteuliwa kwako kuwa mpeperusha bendera wa Chadema 2020. Binafsi, pengine na Watanzania wengi kwa ujumla wetu hatupendi kuanguka kwa vyama vya upinzani ama nchi yetu kurudi nyuma katika mfumo wa chama...
  10. Bhikalamba

    Tanesco Sengerema imulikwe

    Kwako waziri wa nishati mh. Kalemani, pamoja na mkurugenzi wa Tanesco. Mh. Waziri kwanza nianze kwa kukupongeza kwa hatua kubwa ya usambazaji umeme ilipigwa na wizara yako. Sasa naomba nijikite kwenye mada, pamoja na pongezi hizo naomba uelewe kuwa kuna watendaji wa chini wanakungusha nami...
  11. Bhikalamba

    Impact ya kutoheshimu haki za binadamu na demokrasia

    Ndugu wanabodi leo mchana nilisikiliza kipindi cha dunia yetu DW, kulikuwa na taarifa ya kuhusu serikali kushindwa kutekeleza baadhi ya miradi kama ilivyokadriwa kwenye bajeti ya 2018/19 kutokana na wahsani kugoma kutoa fedha kama walivyo ahidi. Hadi sasa wametoa takribani bil 146 sawa na...
  12. Bhikalamba

    Serikali yazifunga akaunti 191 za wakulima wa korosho.

    Hatua hiyo ya serikali imetangazwa na waziri wa kilimo mh. Japhet Hasunga alipokuwa akihojiwa na gazeti la citizen. Waziri Hasunga kasema hatua hiyo ya kufunga akaunti hizo ni kwa lengo la kupisha uhakiki. Akitoa ufafanuzi alisema kuna baadhi waliuza kilo zaidi ya 1500 na kwa utaratibu mkulima...
  13. Bhikalamba

    Mo saga, Kuna kitu tunalazimishwa kuamini

    Tangu press ya Mambosasa, suala race au utaifa wa watekaji limekuwa likijirudia rudia kwa waendesha press conference. Pitia pia press ya Sirro utaona pia akiingiza hoja ya watekaji kuwa ni RAIA wa kigeni. Njoo tena leo Mo nae anarudia maneno yale yale kuwa watekaji walikuwa waongea lugha ya...
  14. Bhikalamba

    Tundu Lissu kurejea nchini mwakani. Kaka yake asema risasi iliyoko ndani ya uti wa mgongo haitaondolewa

    Tundu Lissu Kurejea Nchini Mwakani.....Kaka Yake Asema Risasi Iliyoko Ndani ya Uti wa Mgongo haitaondolewa Wito wangu tuzidi kumwombea ndugu yetu TAL , afya yake izidi kuimarika. Hakika Mungu anamakusudi makubwa nawe kama suti ya wanyonge. Yule bwana hakutaka ukalale na unyamaze milele...
  15. Bhikalamba

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi yaalika waangalizi uchaguzi mdogo wa ubunge Monduli, Korogwe na Ukonga.

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetoa mwaliko kwa watazamani wa ndani katika uchaguzi mdogo wa ubunge na madiwani utakaofanyika Septemba 16, 2018. NEC imealika waangalizi hao kushuhudia uchaguzi katika majimbo matatu ya Ukonga-Dar es salaam, Monduli-Arusha na Korogwe Vijijini-Tanga pamoja na...
  16. Bhikalamba

    Nifanyeje anipe papuchi

    Wanabodi, kuna mrembo mmoja tuko nae kampuni moja, ila idara tofauti ingawa midamida huwa tunakutana canteen au maeneo ya burudani. Kwa njinsi alivyo mrembo, alinidatisha sana nikamua kumutokea. Yeye anae mume nani ninae mke, ingawa wote tuko mbali na wenzi wetu. Katika maongezi yetu kila mmoja...
  17. Bhikalamba

    Demokrasia ndani ya vyama vya upinzani

    Ndugu wana bodi, zikiwa ni siku kitambo jumamosi moja nikisikiliza kipindi cha meza ya duara cha idhaa ya kiswahili ya DW. Mada ilikuwa demokrasia ndani ya vyama vya upinzani Africa. Katika mjadala ilithibitika kuwa vyama vingi vya upinzani Africa ikiwemo hapa kwetu Tanzania vimekuwa na...
  18. Bhikalamba

    Eti! Urais Tanzania uwe ni miaka saba

    Ndg. wana JF pitien makala ya Umar Mukhatar kwenye gazeti la Rai tar. 24/12/2015 kuwa taifa linapata load kuwatunza marais wastaaf kwan mda wa kukaa madarakani ni mfupi yaani 5x2, jamaa kapendekeza 7x2.pia ni fursa kwa Rais kukamilisha viporo. Let's think
Back
Top Bottom