Eti! Urais Tanzania uwe ni miaka saba

Bhikalamba

JF-Expert Member
Dec 6, 2015
1,848
2,643
Ndg. wana JF pitien makala ya Umar Mukhatar kwenye gazeti la Rai tar. 24/12/2015 kuwa taifa linapata load kuwatunza marais wastaaf kwan mda wa kukaa madarakani ni mfupi yaani 5x2, jamaa kapendekeza 7x2.pia ni fursa kwa Rais kukamilisha viporo. Let's think
 
Tuondoe kipengele cha kuwatunza, watunzwe kama watumishi wengine wa umma. Tax exemption yao.pia iondolewe, some flamboyant privileges tuzingoe
 
NDO UTAKUWA UMETATUA TATIZO AU? waandishi kama hawa wanatakiwa wafungwe, maana wa JK kakaa miaka kumi tu, WATANZANIA ndo wanamsema hivi JE angekaa 14 miaka?, TUACHE DEMOKRASIA IFANYE KAZI ipunguzwe iwe miaka 4,
 
Unayasema hayo kwakuwa kajitokeza Magufuli, mtu kama JK akikaa miaka yote hiyo hllo janga utalifanyaje?
Hiyo hiyo mitano inatosha. Kama ikitokea tukaona raisi Magufuli anafaa kuendelea hata baada ya miaka 10 basi tutamkaimisha mtu kama Khasim Majaliwa ashikile kwa miaka mitano halafu Magufuli agombee tena akae tena miaka 10 kama Urusi walivyofanya. Mambo ya kubadili badili katiba tuwaachie Rwanda na Burundi.
 
Kama ni kwa magufuli sawa, ila imagine mtu Kama kikwete akae kwa miaka 7, hii nchi si tutazikwa kaburini.
 
Back
Top Bottom