Counter offensive imeishia wapi?

Counter offensive imeishia wapi?

Bhikalamba

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2015
Posts
2,341
Reaction score
3,367
Katika kipindi cha mwezi mumoja August to September, tulizoea kusikia HIMARS ni kiboko, ooh Ukraine inaichukua donbass yote na baada ya muda mfupi inayofuata ni Crimea. Sasa hizi kelele zimezimika Kama moto wa mabua. Wayukreini wa Namanyele, Izumacheli na Kazulamimba naombeni update mambo yako vipi huko frontline?

Au baada ya mvua kuinyeshea Kyiev na miji mingine 40, mumeamua kutafakari kwa muda.
CC @MK254,Yoda YEHODAYA Nyamizi mtarimbo
 
Wew ni mwehu acha nikuignore tu mzee wangu am sory bt ni lazima iwe ivyo
 
Wewe sio mfuatiliaji mzuri jimbo.la khareson askari warusi wanakimbia kama wehu.Wakiacha vifaru na mizinga wanakimbia kwa miguu
 
Ndo ulete update za counter offensive, hebu leta ushahidi Kama Kuna territorial gain yoyote baada ya kunyeshewa mvua ya mabomu Kiev kujibu ugaidi uliofanyika Crimea
 
Wew ni mwehu acha nikuignore tu mzee wangu am sory bt ni lazima iwe ivyo
Usini 'ignore' nipe update za counter offensive. Vipi donbass imekombolewa au la. Na vipi mrusi anachapika? Ili Mimi Myukrein wa Izumacheli Nile kuku.
 
Back
Top Bottom